Search results

  1. The End..

    Shemeji ananipa mitihani

    Habari wana MMU, nina imani ni wazima wa afya. Katika siku za karibuni nilihama mkoa fulani kikazi, kama ilivyo kawaida nilitafuta chumba nikapanga na kiustaarabu kuishi vizuri na majirani zangu. Sasa kuna mpangaji mmoja yeye huwa anamnyanyasa sana mke wake kwa kumuumiza kimapenzi. Ana uwezo...
  2. The End..

    Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

    Habari zenu wakuu mwenzenu leo yamenikuta mimi na mpenzi wangu tunaishi nyumba moja ila vyumba tofauti mimi naishi mwenyewe ila yeye anaishi na shangazi yake imekuwa kawaida shangazi yake. Sasa usiku wa jana shangazi yake alitoka kwenye mida ya saa mbili hivi na muda huo mpenzi wangu aliniita...
  3. The End..

    Mke wangu ananifanyisha punyeto bila kujijua

    Habari wana MMU... Leo imetokea mzozo mkubwa kati yangu na mke wangu kuhusiana na swala la punyeto na madhara yake...!!! anachonifanyia mke wangu ni blowjob na handjob ukichunguza kwa umakini sana utajua kuna kauhusiano mkubwa na punyeto... nimejaribu kumweleza ila ndo anafanya mchezo sasa...
  4. The End..

    Natafuta kazi yoyote ila mimi ni mwalimu..

    Habari zenu wana JF... Daah wakuu maisha ya kitaa yamenishinda aisee. Naombeni mnipe kazi yoyote ile iwe kufundisha au kokote (isiwe ya ndani lakini). Kama kufundisha naweza Maths, ICT na Physics nina degree ya maths na ICT ila nina uzoefu pia kwenye physics!!! Tusaidiane wadau, njaa kali huku!
  5. The End..

    Password

    wanajukwaa naomba msaada wa password kwenye hii game.. flight simulator X deluxe.. kila nikijaribu nashindwa kuzipata.. msaada tafadhali..!
  6. The End..

    Kwa ambaye bado anasumbuliwa kuona matokeo ya kidato cha nne

    kwa ambaye bado hajayaona au anapata shida kuona matokeo ya kidato cha nne aweke namba ya shule nimsaidie...
  7. The End..

    Natafuta mpenzi wa kuanza nae maisha

    Mimi ni kijana wa miaka 25, sina kazi wala sina kibarua, elimu yangu ni degree ni mwalimu wa arts ila serikali imekataa kuniajiri ni mfupi kupitiliza na mweusi tena mweusi kweli kweli. Nahitaji mrembo aliye tayari tuanze mahusiano na baadae awe mama watoto wangu. Karibuni!
  8. The End..

    Msaada kuhusu kozi ya Clinical Officer

    habari zenu wakuu wa education forum.. nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza ya IT ila ninapenda kujiunga na masomo ya clinical officer.. mwenye taarifa ya vigezo vinavyohitajika anisaidie tafadhali.. advance nilisoma PGM
  9. The End..

    Natafuta mchumba

    weka vigezo kwanza: kama Dini, urefu, kazi, rangi ya ngozi, na mengineyo...!!!!
  10. The End..

    msaada

    habari wana JF najua wazima... naomba msaada laptop yangu inaonyesha "bootmng is missing" na nikijaribu kushusha windows CD inazunguka tu ila haiinyeshi setting za boot menu zaidi ya kurudisha sms ile ile niliyoitaja hapo juu... kama kuna shortcut ya kuingia boot setting nisaidieni...
  11. The End..

    Inawezekana kujiunga na chuo cha udaktari na bado ukaendelea na ualimu?

    Msaada wakuu ninahitaji kujiunga na chuo facult ya medicine ngazi ya stashahada ila kwa sasa ni mwalimu na nategemea huo mshahara unisogeze hadi nitakapomaliza chuo. Swali je, naweza kujiunga na chuo wakati huo huo nikaendelea na uwalimu. Nipo shule ya serikali Naombeni mawazo yenu wakuu!
  12. The End..

    Kunguru aanguka nakugeuka kuwa binadamu

    kunguru aanguka na kuwa mtu!!!
  13. The End..

    Mdogo wangu katembea na msichana inayesemekana ameathirika

    Za mchana wana MMU nina imani ni wazima wa afya na tumshukuru mungu kwa kutuamsha wazima. Nitatumia majina ya kubuni ili nieleweke vizuri. Jamani kuna thread nilianzishaga humu kuwa kuna rafiki yangu yeye ni mwathirika HIV na anatembeza tembeza bakora ovyo mtaani na nje ya mtaa. Sasa la leo...
  14. The End..

    Jamani hivi hii ni heshima kweli leo nikimchekea kesho si atavunja ndoa yangu huyu

    Hebu nisaidieni jamani huyu msichana ni rafiki yangu wa kawaida sana na tunaheshimiana sana ila naona anaanza vibweka nisivyovielewa ,juzi ameanza tabia ya kuniuliza uliza mara kaka umekula, mara kaka angalia magari, mara kaka usirudi usiku kuna wakabaji na mengineyo. Sasa cha leo ndo...
  15. The End..

    nani yupo macho muda huu!!!

    aliye macho na angependa kuendelea anyooshe mkono nianzishe bonge la uzi kwa ajili ya kukesha!!!
  16. The End..

    Usifanye mchezo na pesa

    Za asubuhi wana MMU. Jamani nilichokiona jana nimeshindwa kukiamini ila inabidi tu niamini. Kuna rafiki yangu ana mpenzi wake kiukweli walipendana yaani hata mimi niliyapenda mapenzi yao hadi wakaanza kufanana, ila yule msichana amesoma hadi form 4 akapata zero na jamaa yeye aliishia la saba...
  17. The End..

    Nahisi naibiwa hapa sina amani kabisa

    Habari za mchana wana MMU imani ni wazima wa afya. Leo mwenzenu nina majanga yaani majanga. Nina mpenzi wangu ambaye nimemwelezea sana humu JF ila la leo ni tofauti. Kwa sasa amesafiri kwenda kwao Arusha sasa kule amekutana na mdogo ambaye anadai wanapendana kiasi kwamba wanachangia hadi...
  18. The End..

    Joining instruction ya Bwiru Girls

    great thinkers kuna mdogo wangu amesomea sangiti na kachaguliwa kidato cha tano bwiru girls high school tatizo jinsi ya kupata join instruction imeshindikana! mwenye kunisaidia link yao au kunitumia kwenye email hii g_mhando@yahoo.com au kunitumia whatsapp 0712222184 anisaidie dogo aende shule!!!
  19. The End..

    Msaada joining instruction Shule ya Kibiti

    nashindwa kupata join instruction ya kibiti high school kwa mwenye uwezo anisaidie!!!!
  20. The End..

    Nimeikuta huko chit-chat ila naona ni wazo zuri karibuni muone!!!

    mmekula wana MMU sio kila siku salaam tu: kuna uzi mwenzenu nimeukuta huko chit chat kuwa kwa wale wote wapendwa wa jamii forum hususani wanaohusika na mambo fulani ya kuriwazana, kufarijiana, kushauriana na kupongezana.... tukutane wote WhatsApp na tunajoin kwenye namba hii 0752460180 kwangu...
Back
Top Bottom