The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,365
- 3,819
Za mchana wana MMU nina imani ni wazima wa afya na tumshukuru mungu kwa kutuamsha wazima.
Nitatumia majina ya kubuni ili nieleweke vizuri.
Jamani kuna thread nilianzishaga humu kuwa kuna rafiki yangu yeye ni mwathirika HIV na anatembeza tembeza bakora ovyo mtaani na nje ya mtaa.
Sasa la leo linanifanya nikose uamuzi sahihi jinsi ya kuanza, kuna dada aitwaye Tausi yeye alitembea na huyo mwathirika kwa muda mrefu tu na alikuwa ni ndugu wanaoishi pamoja na jamaa mmoja aitwaye Fredy na huyo Fredy alikuwa na mfanyakazi wa ndani aitwaye Helena.
Sasa siku moja huyo Fredy kwa uchu wake alimbaka ndugu yake Tausi na kesi ilikuwa kubwa hatimaye huyo Tausi ilibidi ahame hapo nyumbani akabaki Fredy na mfanyakazi Helena ndani ya nyumba.
Hali ilikuwa mbaya kwa Fredy ikabidi atembee na Helena kumaliza haja zake za siri.
Sasa mdogo wangu ambaye nilileta thread humu kuwa anatembea na binti sio saizi yake amekuja kunionyesha binti mwenyewe kumbe ndo yule Helena anayetembea na Fredy, nilitokwa na jasho ghafla ila sijamwambia kitu tulisalimiana kawaida tu.
Sasa najiuliza nimwambie dogo hii cheni ili akapime na aachane na huyo binti au nikaushe nisije nikaleta matatizo mengine nisaidieni ndugu zangu mna mawazo gani juu ya hili.