Tupe link aisee, watu tulikuwa tukidaiwa tuchangie na watoto kibao...naona hatujaelezwa hadi sasa. Ukifuatilia watoto waatuita tunakiherehere....wamesahau kipindi kile wanapitisha bakuri la kuomba pesa za matumizi!!!!!
Weka link niwe huru kuwachungulia watoto maana wapowapo tu, ukiuliza wanasema nakuja nitakuambia.....alafu inakua jumla hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.