The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,357
- 3,831
Habari zenu wana JF...
Daah wakuu maisha ya kitaa yamenishinda aisee. Naombeni mnipe kazi yoyote ile iwe kufundisha au kokote (isiwe ya ndani lakini). Kama kufundisha naweza Maths, ICT na Physics nina degree ya maths na ICT ila nina uzoefu pia kwenye physics!!!
Tusaidiane wadau, njaa kali huku!