msaada

msaada

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
habari wana JF najua wazima...
naomba msaada laptop yangu inaonyesha "bootmng is missing" na nikijaribu kushusha windows CD inazunguka tu ila haiinyeshi setting za boot menu zaidi ya kurudisha sms ile ile niliyoitaja hapo juu...
kama kuna shortcut ya kuingia boot setting nisaidieni....
natanguliza shukran by The End..
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa #theend ...nadhani ujumbe unaouona umeandiwa "bootmgr is missing"..
Maana yake boot manager haipo au imecorrupt..best solution ni ku install operating system upya.
 
Mkuu hiyo jaribu kufanya haya maelezo mkuu 1 restart PC yako... cheki Drives zako kama ziko poa hasa USB Ports alafu cheki kwenye BIOS yako kama boot sequence yako na urekebishe hard drives zako ambazo unaona zina BOOTING erors alafu maliza kusoma hapa mkuu
 
install another os, washa machine yako kuenda kwenye boot option press f12 kama ni dell or toshiba na f10 kama ni hp then chagua device unayohitaji ku install hiyo windows ie dvd or usb nk ukikwama nichek kwa 0784234391
 
Back
Top Bottom