nani yupo macho muda huu!!!

nani yupo macho muda huu!!!

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
aliye macho na angependa kuendelea anyooshe mkono nianzishe bonge la uzi kwa ajili ya kukesha!!!
 
mkuu kwanini hulali kama wenzio ?
 
we mlinzi wa getini wataka kampani na mabosi wako tuliolala ndani?
 
we mlinzi wa getini wataka kampani na mabosi wako tuliolala ndani?

mlinzi nina siri nyingi nyi hamjui tu!!!!
kuna raia hawazuiliki huku wanatokea kwenye kona ya pembe za nyumba tena uch..i wa mnyama!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom