Kunguru aanguka nakugeuka kuwa binadamu

Mmmmh mimi kakimeo kangu sijaona hata kitu, aliyeona atufamishe basi wenye vimeo kama mimi.!
 
Ni Nigeria na hapo anaonekana mtu tu amekaa chini. I thought video ingekuwa namuonesha kunguru kaanguka alafu anabadilika kuwa binadamu. Nothing amazing!!

Hilo ni tukio halisi sio movie so isingekuwa rahisi mtu kurekodi tangu mwanzo!!!
 
Hii habari ilishawekwa hapa jf siku chache au hukuiona mkuu?
Huyu mama alipigwa shoti ya umeme huko Nigeria alipokua safarini kumuona mjukuu wake baada ya bintiye kujifungua, wakati anasafiri alijigeuza na kua ndege/kunguru kwa nguvu za kishirikina.
Alipata ajari na kuunguzwa vibaya baada ya kutua kwenye nyaya za umeme.
 
Hahaha hapo napata Picha yakwamba mchawi akijigeuza Kuwa Kiumbe chochote, macho ya binadamu ndiyo yanadanganyika, yanakiona hiko kiumbe na sio binadamu. Ila umeme ni kitu kingine bhana, haudanganywi! Kajigeuza kunguru na kutua kwenye nyaya za umeme hahaha.
 
Back
Top Bottom