Search results

  1. NAFIKIRE

    Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba MDH wasiondoke mkoa wa Geita

    Wasalaam ndugu wana Jukwaa, Kwanza nianze bandiko langu kwa kumpongeza Mhe. Waziri wa afya kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya hii Wizara kubwa na muhimu sana kwa Watanzania. Hongera sana mheshimiwa Waziri Ummy. Wewe ni jembe haswa kwa maoni yangu na ni askari wa mwavuli wa Mheshimiwa...
  2. NAFIKIRE

    Rais Samia usipite bila kusoma ujumbe huu

    Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana. Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
  3. NAFIKIRE

    Naomba kuuliza kama kuna chombo/njia rahisi cha kusaidia kuona "vein" haraka

    Salaam Naomba mnisaidie wataalam kama kuna chombo au njia rahisi inaweza kutumiwa kuona vein mapema..Nilikuwa na mtoto wangu hospitali anaumwa kila madaktari wakijitahidi wamuekee maji wanasema mama vein hazipatikani...huku mtoto ameishiwa nguvu..wamemchoma kwenye kichwa,shingo mkononi...
  4. NAFIKIRE

    Usafiri Kituo cha mabasi Ubungo

    Salaam Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali yetu...iangalie adha hii wanayopata abiria kwenye kituo hiki kwa jicho la huruma. Ndugu zangu hali ya...
  5. NAFIKIRE

    Kauli za kuvutia na kufurahisha au za kuhuzunisha za viongozi wetu -2018

    Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2018..naomba wanajukwaa wenzangu tuzikumbuke baadhi ya kauli za viongozi wetu mwaka huu wa 2018..Kauli zinaweza kuwa za kufurahisha au kuchukiza wewe iweke ili kuweka kumbukumbu vizuri...Na kama una video inayoambatana na kauli hiyo wewe iweke hapa...Mod ikiwezekana...
  6. NAFIKIRE

    Naomba kujua matumizi sahihi ya dawa inayoitwa Ant-D

    Wanajamvi: Nimeenda hospitali nikaambiwa ninatakiwa nichome dawa inaitwa Ant-D..na nitakapojifungua nichome tena..nimeenda pharmacy kuulizia bei yake ni 180000...naomba mwenye uelewa na hii dawa anifundishe tafadhali na matumizi yake kwa usahihi..
  7. NAFIKIRE

    Jamani hata Yanga

    Wanajamvi wasalaam: Baada ya salamu,nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajangwani kuchukua tena kombe la ligi ya vodacom Tanzania kwa Mara ya tatu mfululizo..kongole kwenu... Ila dukuduku langu kubwa ni kilichotokea kwenye uwanja wa ccm kirumba jana yanga ilipokuwa ikicheza na mbao fc... Nasema...
  8. NAFIKIRE

    Hivi ni kwanini dakika 45 ITV hamkaribishi watu kutoka vyama vya upinzani?

    Wadau. Nimemaliza kuangalia kipindi cha dakika 45 tano..Leo mgeni alikuwa Masha Mshomba mkurugezi wa mfuko wa fidia Tanzania akiohojiwa na mtangazaji Sam Mahela. Mimi ni mpenzi wa kipindi hiki sana ila shauku yangu kubwa ni kuona kipindi kinakuwa cha pande mbili kwasasa kipindi kimekuwa cha...
  9. NAFIKIRE

    LIFE IS ALL ABOUT UPS AND DOWN

  10. NAFIKIRE

    Ipe maneno picha

  11. NAFIKIRE

    Mungu ni mkubwa

  12. NAFIKIRE

    Masoud hapa sijampata vizuri

  13. NAFIKIRE

    Waisraeli wa Tanzania

    Wadau: Nianze bandiko langu hili kwa kusema kwamba mimi sio mbaguzi wa rangi, kabila,dini au ukanda.Ninauchukia ubaguzi na ninamchukia mtu mbaguzi.Mimi ni Mtanzania mzalendo ninaipenda nchi yangu na serikali yake. Ila ninawiwa kutoa ushauri wangu wa kiroho ambao wengi mnaweza kuutafsiri kama...
  14. NAFIKIRE

    Yupo wapi Kanali Fabian Massawe?

    Wanajavyi Natamani kujua alipo Kanali Fabian Massawe.Ni mmojawapo wa watu niliokuwa ninawakubali sana kwa utendaji wao..Sijui nini kilimkuta mtu huyu.ninaimani anafiti sana kwenye serikali hii ya hapa kazi tu. Karibuni
  15. NAFIKIRE

    Ngo'mbe aliyekatwa mkia

    Wana jamvi leo nimemsikia mkulu akisema wanaotaka kurudi tena kwenye kundi wanakaribishwa.Ila alimalizia kwa msemo wa kabla lao kwamba:"Ng'ombe hazuiwi kurudi kundini, ila akisharudi ngo'mbe wengine watamtambua tu kwamba amekatwa mkia.. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu huo msemo.Naomba na...
  16. NAFIKIRE

    Ushauri wangu kwa mkuu wa kaya

    Salaam kwako; Nianze kwanza kwa kukupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuingoza nchi yetu.Hongera sana ; kazi ni nzuri kwa taarifa za huku mtaani. Mkuu naomba nikushauri kuyafanyia kazi mambo matatu au matano ambayo yatakufanya uzidi kukubalika na kuwa juu na zaidi kuwasaidia wanafamilia...
  17. NAFIKIRE

    Ushauri kwa Mwenyekiti Mbowe na wasaidizi wake

    Ndg Mwenyekiti hongera kwa kazi kubwa unayoifanya ya kukijenga chama. Mimi kama Mtanzania mpenda mabadiliko ninakubali utendaji wako na wa chama kwa ujumla. Ushauri wangu kwako ndugu Mwenyekiti ni huu: CHADEMA ni chama shindani kikubwa kuliko vyama vingine vyote Tanzania. Hivyo ninakuomba...
  18. NAFIKIRE

    Tume ya uchaguzi na Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania

    Rasmi inajulikana sasa kwamba vyuo vikuu Tanzania vitafunguliwa mwezi wa kumi na moja.Hii ni kwa mujibu wa chombo kinachosimamia vyuo vikuu Tanzania. Kikubwa kilichonisukuma nijitokeze na uzi huu ni kuiomba tume ya uchaguzi itoe tamko kwamba mimi mwanafunzi-kwa mfano :Nipo Kigoma Tanzania na...
  19. NAFIKIRE

    Utabiri wangu kuhusu serikali ya CCM kama itafanikiwa kushika dola itakuwa na Uongozi ufuatao:

    Wadau huu ni utabiri wangu tu na "aslani" haufungamani na upande wowote:Unakaribishwa kuongeza au kurekebisha popote 1.Rais-Augustino Ramadhani/Makongoro Nyerere 2.Makamu wa Rais-Asha Rose Migiro 3.Waziri Mkuu-John Pombe Magufuli/Makongoro 4.Waziri wa "mashauri" ya nje-Nyalandu/Hussein...
  20. NAFIKIRE

    Shida ya usafiri kwa wanafunzi wa UDOM

    Wadau, Nimeamua kuweka uzi huu baada ya kushuhudia wasomi wetu wa UDOM wanavyoteseka na huu usafiri wa kwenda chuoni kwao.Mimi kero yangu kubwa ni jinsi hawa vijana wanavyojazana kwenye haya macosta mpaka kero.Hivi viongozi wa UDOM na polisi hawalioni hili. Hivi nyie wasomi kwanini usomi wenu...
Back
Top Bottom