Usafiri Kituo cha mabasi Ubungo

Usafiri Kituo cha mabasi Ubungo

NAFIKIRE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
681
Reaction score
467
Salaam
Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali yetu...iangalie adha hii wanayopata abiria kwenye kituo hiki kwa jicho la huruma.

Ndugu zangu hali ya usafiri jana na leo siku ambazo nimebahatika kuwepo ubungo ni tete.
Waziri unayeusika na usafirishaji tafadhali wahurumie abiria kwenye kituo cha mabasi ubungo...Waziri liangalie hili swala kwa jicho la pili na la huruma...Abiria wanateseka sana kupata magari ya kwenda makwao....Haya hapa mheshimiwa waziri ni baadhi ya niliyoyashuhudia:

-abiria wanakaa kituoni kwa zaidi ya saa nane....akisubiria gari....na mwisho wa siku anaweza asilipate

-Nauli ipo juu na uhakika wa kusafiri ni wa mashaka

-Sehemu za kupumzikia abria hakuna au hazitoshelezi mahitaji...abiria wanachomwa na jua mpaka basi...ikinyesha mvua ni yao...Jengo la kupumzikia abiria halina viti vya kutosha...abiria wanakaa chini...Luninga iliyopo kwenye jengo hili sii ya hadhi ya kituo kinachokusanya mammilioni kwa siku..

--Usafi kwenye kituo hiki ni majanga

-Waziri barara ya kuingia kituoni kupitia mlango wa nyuma ni mbuvu sana...tafadhali ongea na mkurugenzi waitengeneneze kwa kiwango cha lami

USHAURI
-Kuwepo na mpango mkakati wa muda mfupi na mrefu wa kupunguza kero za usafiri mwishoni mwa mwaka...

-Waziri kongole kwako kwa kutoa vibali kwa baadhi ya magari kupeleka abiria mikoani....eti nasikia wanapigwa cha juu hata faida hawaioni...mmmh!....

--Waziri ikiwezekana amuru baadhi ya mabasi ya mwendokasi yapeleke abiria mikoani....au umuombe mheshimiwa raisi ayaamuru magari ya jeshi yapeleke abiria mikoani...(ni njia ya kuingizi kipato pia kwa jeshi..)

---Waziri ile treni ya kwenda mikoa ya kaskazini ingekuwepo ingepunguza adha hii kwa kiasi fulani

--Hela inayokusanywa kwenye mageti..vibanda na kwenye maliwato itumike kujenga sehemu za kupumzikia abiria za muda mfupi..

Stand ya ubungo ipo mahali pazuri sana na ina eneo kubwa la kutosha....watu kutka sehemu nyingi za jiji wanaweza kuifikia kiuraisi sana...mimi ninashauri ule mpango wa kujenga stand mpya mbezi...ubadilishwe na hiyo ramani itumike kujenga hiyo stand hapa ubungo..(ni ushauri tu)

Karibuni wadau kwa maoni mengine na ushauri...
 
Ni kawaida mwisho wa mwaka usafiri kusumbua, Ila kuna wakati gari zinasafiri tupu hususani kati kati ya mwaka.. Ila usihofu ndege zipo zitasaidia kuanzia mwakani.
 
Naunga mkono hoja, jana nimeshuhudia njia nzima kuanzia pale Mbezi Mwisho hadi Chalinze abiria wanateseka sana kubahatisha usafiri wa kwenda Moshi.

Mabasi mapya ya mwendokasi zaidi ya 100 yapo yard yao yamepaki tuu. Wangekuwa ni watu wanaojua kujiiongeza, wangeyatoa mabasi hayo kwa utaratibu wa kulipa double fare ili leo na kesho yapeleka abiria, wangeomba vibali Sumatra kutoza double fare kwa sababu yatarudi tupu.

Ila pia ndugu zetu Wachagga, mjifunze kujianga kwa kufanya booking mapema. Mtu tokea January mosi unajua kabisa kuwa Desemba 25, utahitajika lazima uwe umehudhuria katika ibada muhimu ya hija, kwanini usijipange kwa kufanya booking mapema?. Watu wamejipanga barabarani na kusongamana vituoni utadhani ni safari ya dharura ili hali watu walijua tangu January.

P
 
Jana bagamoyo road yote imejaa, kuanzia mwenge-lugalo-tegeta-bagamoyo... Wachaga wamejaa!

Mchaga mmoja yeye na familia yake hawajaweza kutoboa bagamoyo baada ya gari lao kuteketea kwa moto wakiwa wanalishuhudia kwa macho yao. Mzee analia kama mtoto, gari ni noma!

Naamni hataisahau hii safari!
 
Me naunga juhudi watumie magari ya jeshi ..maana mengi sahivi yatakuwa yamepark

Ila kwa mwendokasi kwenda mikoani hazitoweza ..maana zile engine ziko nyuma pulling yake kwenye milima itakuwa sio kubwa mno ,afu like ziko chini sana bumps kama za shinyanga road zitarudi kama zilikuwa machimbo
 
Salaam
Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali yetu...iangalie adha hii wanayopata abiria kwenye kituo hiki kwa jicho la huruma.
Ndugu zangu hali ya usafiri jana na leo siku ambazo nimebahatika kuwepo ubungo ni tete.
Waziri unayeusika na usafirishaji tafadhali wahurumie abiria kwenye kituo cha mabasi ubungo...Waziri liangalie hili swala kwa jicho la pili na la huruma...Abiria wanateseka sana kupata magari ya kwenda makwao....Haya hapa mheshimiwa waziri ni baadhi ya niliyoyashuhudia:
-abiria wanakaa kituoni kwa zaidi ya saa nane....akisubiria gari....na mwisho wa siku anaweza asilipate
-Nauli ipo juu na uhakika wa kusafiri ni wa mashaka
-Sehemu za kupumzikia abria hakuna au hazitoshelezi mahitaji...abiria wanachomwa na jua mpaka basi...ikinyesha mvua ni yao...Jengo la kupumzikia abiria halina viti vya kutosha...abiria wanakaa chini...Luninga iliyopo kwenye jengo hili sii ya hadhi ya kituo kinachokusanya mammilioni kwa siku..
--Usafi kwenye kituo hiki ni majanga
-Waziri barara ya kuingia kituoni kupitia mlango wa nyuma ni mbuvu sana...tafadhali ongea na mkurugenzi waitengeneneze kwa kiwango cha lami
USHAURI
-Kuwepo na mpango mkakati wa muda mfupi na mrefu wa kupunguza kero za usafiri mwishoni mwa mwaka...
-Waziri kongole kwako kwa kutoa vibali kwa baadhi ya magari kupeleka abiria mikoani....eti nasikia wanapigwa cha juu hata faida hawaioni...mmmh!....
--Waziri ikiwezekana amuru baadhi ya mabasi ya mwendokasi yapeleke abiria mikoani....au umuombe mheshimiwa raisi ayaamuru magari ya jeshi yapeleke abiria mikoani...(ni njia ya kuingizi kipato pia kwa jeshi..)
---Waziri ile treni ya kwenda mikoa ya kaskazini ingekuwepo ingepunguza adha hii kwa kiasi fulani
--Hela inayokusanywa kwenye mageti..vibanda na kwenye maliwato itumike kujenga sehemu za kupumzikia abiria za muda mfupi..
Stand ya ubungo ipo mahali pazuri sana na ina eneo kubwa la kutosha....watu kutka sehemu nyingi za jiji wanaweza kuifikia kiuraisi sana...mimi ninashauri ule mpango wa kujenga stand mpya mbezi...ubadilishwe na hiyo ramani itumike kujenga hiyo stand hapa ubungo..(ni ushauri tu)
Karibuni wadau kwa maoni mengine na ushauri...
Hao wanao safiri nao ifike sehemu wajifunze.make hii ni ya kila mwaka iko hivyo
 
Mmmh!!! Yale mabox yaende moshi kweli!!!😂😂 bora nipande fuso
 
Hadi Krisimasi ndo usafiri?
 
Hata stendi mpya ya mbezi itakuwa na matatizo kama ubungo kwasababu wahusika hawajui kupanga mambo kwa kuona mbele. Sio lazima kuwe na stendi moja kwa jiji la Dar es Salaam kwasababu ni pana sana. Hakuna sababu abiria toka Mwanza asiende moja kwa moja Temeke au Kigamboni na abiria kutoka Kigamboni apate usafiri kwenda Mbeya au Nairobi hukohuko Kigamboni. Vivyo hivyo kwa Wilaya nyingine za Dar. Hii itapunguza usumbufu na msongamano katika kituo kimoja kama UBT au huko mbezi.
 
Magari ya JWTZ waache kubeba korosho kwanza yabebe wananchi wakimaliza ndiyo yarudi kwenye korosho
 
"Umesahau na wapiga debe. Wengi wao ni wachafu, lugha mbaya, matapeli, wabwia unga n.k."
 
tatizo na nyie abiria hamjiongezi,si mjipange mkodishe hata haisi..
 
Back
Top Bottom