Yupo wapi Kanali Fabian Massawe?

NAFIKIRE

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
634
415
Wanajavyi
Natamani kujua alipo Kanali Fabian Massawe.Ni mmojawapo wa watu niliokuwa ninawakubali sana kwa utendaji wao..Sijui nini kilimkuta mtu huyu.ninaimani anafiti sana kwenye serikali hii ya hapa kazi tu.
Karibuni
 
Col Fabian Massawe , mtu freshi sana, mcheshi, mtendaji na hana hila za kisiasa.
Anafanya kile kilicho sawa kibindamu.
 
Hakufukuzwa baada ya umri kufika amestaafu kwa heshima. Hekima zake Tunaendelea kuzitumia. Aliacha wimbo wa AMANI NA MAENDELEO ''
 
Labda atakuwepo huko kijijini kwao Kifuni Juu Kata ya Umbwe, Kibosho magharibi akipata kinywaji cha asili mbege!! Napendekeza afikiriwe kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, ni mtu wa watu kwa kweli! Kidaa Saaa! Aikambeee!!
 
Back
Top Bottom