Search results

  1. MUSHEKY

    Rais Samia, Soko la Kariakoo halihitaji muwekezaji kutoka nje waachie wazawa wanufaike nalo

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Imepita zaidi ya mwaka na ushee hivi toka Soko Kuu la Kariakoo ambalo ni kitovu cha biashara katika nchi yetu na nchi zinazotuzunguka kuteketea kwa moto. Sikumbuki kama tuliambiwa sababu ya kuungua soko hili wala hatua zilizochukuliwa kwa...
  2. MUSHEKY

    Sakata la Bandari: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Bila salamu nijielekeze moja kwa moja kwenye mada Kama binadamu (sio robot) leo nimeona nitimize wajibu wangu kuongea machache yanayohusiana na sakata la hizi bandari zetu Kwanza kabisa niwakumbushe watawala wote (hasa wale wa ngazi zinazonyenyekewa) akiwemo Rais wa jamhuri ya muungano wa...
  3. MUSHEKY

    Ushauri sumu bora ya kupalilia mahindi na kunde kwa pamoja

    Kama inavyosomeka hapo juu wadau, nimelima mazao ya mahindi nikachanganya na kunde. Changamoto niliyonayo nimechelewa kupalilia kwa jembe la mkono nataka nitumie dawa au "sumu" kupalilia Shida ninayokutana nayo maduka nilipo ni kwamba wengi wanafahamu sumu za kupalilia zao moja pekee mfano...
  4. MUSHEKY

    Nauza mashudu ya alizeti gunia 3

    # Gunia ni za kilo 100 kila moja # kila gunia moja 50000 tu sawa na 500/kilo # mashudu yapo mkoa wa pwani ila mwenye uhitaji atasafirishiwa popote ndani ya dar na mikoa jirani Wahi chap*** mzigo ni mchache Nicheki:. 0783 39 12 78 Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  5. MUSHEKY

    INAUZWA Nauza vitu hivi chap kwa wenye magari

    *** Nina Carpet mbili moja nyeusi na nyingine transparent kila moja ntauza 20000/ badala ya 40 ***Kamba ya chuma ya kuvutia gari wa kati wa dharura taiuza kwa 10000 badala ya elfu 20 ***Reflective triangle mbili kwa 7000 tu ***Dawa ya kusafishia na kutoa ukungu kwenye taa 10000 tu ***Foam...
  6. MUSHEKY

    Yanga imekaidi agizo halali la Serikali, hatua kali zichukuliwe dhidi yake

    Wakuu kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sheria ningependa niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nijikite kwenye mada, Mnamo tarehe 24 Juni, 2010 mshambuliaji na nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Thiery Henry aliitwa na kuwekwa kikaangoni na Rais wa Ufaransa wa wakati huo Nicolas...
  7. MUSHEKY

    Nauza mashudu ya alizeti

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema Yapo kama gunia 3 za wastani wa kilo 100 @ Yapo nje kidogo ya dar ila kwa mwenye uhitaji ntamsafirishia hadi mbezi stand Kwa anayehitaji ancheki:. 0783 391278 Bei 600 kwa kilo
  8. MUSHEKY

    INAUZWA Nauza midoli ya kuuzia nguo za kike

    Mmoja ni wakusimama "full'' bei yake ni 45000/ Mingine 15 ni ya blauzi 3500 Ni used nlikua nafanyia biashara nimeacha Bei hizi hutapata popote. Location: Tabata kinyerezi Call: 0783391278
  9. MUSHEKY

    Intelijensia ya simba imchunguze Henock Inonga

    Moja kwa moja nijikite kwenye mada, Hapo jana sikupenda kusema chochote kuhusu simba yangu maana ningeteremsha mitusi mizito kuanzia kwa kocha na mzungu wake ningeambulia ban ya maisha humu Wameshaongea mengi humu kuhusu ukilaza wa kocha hasa kutojua ampange nani na wakati gani hususani kumtoa...
  10. MUSHEKY

    Nauza kibanfa standard cha futi 5 kwa 6

    Sifa: bati nzito Nakshi za mbao kwa ndani Pvc ceiling bord Kimedizainiwa kijanja Location: mbezi mwisho Bei: laki sita na nusu 650,000 tu Call............ 0783391278 Wahi uchukue kinafaa kwa biashara smart
  11. MUSHEKY

    Rais Samia tupia jicho kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, Mbezi

    Kwanza nianze kukubaliana na walio wengi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha kupita kiasi kutokana na sababu mbali mbali hasa zile za kiulimwengi hususani tokea mlipuko wa corona na sasa vita vya Russia na Ukraine Ikumbukwe pia baada tu ya kutangazwa bei mpya za mafuta bei za vitu pamoja na...
  12. MUSHEKY

    Maneno ya Azizi Ki baada ya kupoteza mechi dhidi ya vipers

    Mdogo wangu mtangazaji, najua mmecheka sana mimi kukandwa Naomba utambue kua kukandwa ni jambo la kawaida sana kwenye mchezo wa soka Mdogo wangu mtangazaji, kama unadhani mchezo wa soka ni mwepesi weka kipaza sauti uingie dimbani uone kazi yake Mdogo wangu mtangazaji, nilikuambia unaweza...
  13. MUSHEKY

    Ningeshauri suala la Manara liishe hivi...

    Moja kwa moja kwenye mada, Toka kutolewa kwa hukumu iliyomfungia aliyekua msemaji wa klabu ya yanga ndugu Haji Sunday Manara kumekua na makundi mawili ama moja linahisi Manara ameonewa ama jingine linahisi TFF wapo sahihi Nirudi nyuma kidogo kuwakumbusha mashabiki wa mpira kua sheria yoyote ya...
  14. MUSHEKY

    Sisi wana yanga tunalaani jambo hili kwa nguvu zetu zote

    Awali ya yote niwasalimu nashabiki wenzangu wa kijani na njano Bila kupoteza muda nichukue fursa hii kwa niaba ya wazee wa jangwani na mashabiki wote watiifu wa wananchi kuulaani uongozi wa juisiemu ukiongozwa na raisi wetu injinia hersi saidi kwa kufanya mambo yanayoigharimu timu pakubwa...
  15. MUSHEKY

    Simba kucheza mechi tatu za kirafiki Misri

    Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa...
  16. MUSHEKY

    Nauza gauni nne (4) za harusi kwa shilingi 370,000 tu!

    Wakuu kama bango linavuosomeka Nipo maeneo ya tabata ninauza gauni nne za harusi na za kisasa kwa bei chee kama zinavyoonekana hapo chini Bidhaa: Gauni nne za harusi za kisasa Bei: Laki tatu na sabini (370,000) kwa zote Mahali: Dar es salaam, tabata Hali yake: zimetumika mara mbili tu...
  17. MUSHEKY

    Huyu Bigirimana amekuja kutimiza ndoto zake Bongo?

    Wakuu samahani kwa usumbufu, Simaanishi Joy aliyesajiliwa jana na yanga HAPANA huyu sina shida naye japo kila akitajwa beki huyu wa pembeni picha ya shemeji yenu wa zamani hunijia ila tuyaache hapa namaanisha yule kijana wa Kirundi tuliyeambiwa ametoka ligi ya Uingereza na kuja Yanga[emoji849]...
  18. MUSHEKY

    Sun shade kwa magari madogo

    -Hizi hukinga kioo cha gari yako na athari za jua la moja kwa moja (direct sunlight) - Ulishaegesha gari mahali ukaingia na kukutana na joto la ajabu na la kukuunguza unapokaa kwenye siti?.... Shade hizi hufanya joto litokanalo na mionzi ya jua lisipenye ndani ya gari kwa kua likigonga juu ya...
  19. MUSHEKY

    Kiatu cha mtoto kinauzwa

    Wakuu kama heading inavyosema, ni buti ya mtoto wa kiume wa around miaka mitatu hadi mitano Ni vema akawa shabiki wa mabingwa wa NBC premier league kwa kua rangi zake zinasadifu kwa ukaribu mabingwa hawa mara 24 mfululizo Size 24 Bei elekezi 15,000 Chombo kipo tabata Click// 0692826262
  20. MUSHEKY

    Mbuzi watatu (3) for sale

    Mahali: Kinyerezi Dar es salaam Idadi: Watatu (3) Bei: laki mbili kwa wote (200000) Karibu pm
Back
Top Bottom