Nauza kibanfa standard cha futi 5 kwa 6

MUSHEKY

JF-Expert Member
May 9, 2014
2,812
2,754
Sifa: bati nzito
Nakshi za mbao kwa ndani
Pvc ceiling bord
Kimedizainiwa kijanja

Location: mbezi mwisho

Bei: laki sita na nusu 650,000 tu

Call............ 0783391278

Wahi uchukue kinafaa kwa biashara smart
 
We jamaa bogus kbs unauzaje Mali Kishamba hivi bila picha kitunogee
Ndege john mimi sio bogus, nafaham tarati bu za uuzaji niko mbali kiasi na bidhaa ninayoiuza kwa siku kadhaa ndio maana nimetoa contact kwa serious buyer afike mahali husika akikague anunue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom