magufuli bus terminal

Magufuli Bus Terminal is a bus terminal located in Dar es Salaam, Tanzania.It started operating in November 2020 and will serve over 3000 buses daily.

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanazi wa Mabasi: Huu Ndiyo Uwekezaji Sasa!

    Mugonile/Mlivyedi Привет hii ni kutoka hapa chuo kikuu cha RUDN. Moja kwa moja kwenye hoja. Nawapongeza wawekezaji kama huyu jamaa ambaye nasikia ni kutoka nyanda za juu kusini huku mbeya. Hizi ndiyo mashine za kazi sasa na hapa kachukua nne kwa mpigo, hii nampa 👊🏾 sababu angeweza kushuka...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya mabomba kwenye Vyoo vya 'Magufuli Bus Terminal' imeharibika, maji yanatoka ovyo na hakuna anayejali

    Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho ziende sambamba na kodi na tozo wanazotozwa Wananchi ambao wamekuwa wakifika eneo hilo. Kwa sasa licha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kila siku watu 3 paka 5 hutelekezwa kituo cha mabasi Magufuli

    Kila siku watu watatu mpaka watano hutelekezwa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo jijini Dar es salaam wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18. Ofisi ya ustawi wa jamii kituoni hapo inasema kuwa wengi wao hutoka majumbani kwao na kuja Dar wakiamini kuwa ndo kuna maisha...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afisa Ustawi wa Jamii Ubungo: Watu kutoka kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa na ndugu zao Stendi ya Magufuli

    Taarifa ni kwamba watu wengi wanaotoka mikoani kuja Dar es Salaam wamekuwa wakitelekezwa na ndugu zao stendi ya mabasi ya Magufuli, mamlaka za kituo hicho zimeamua kutangaza kwa kutumia Spika kuhusu ndugu ambao wanatelekezwa au wamekosa mwenyeji. MIKOA INAYOONGOZA KUTELEKEZA NDUGU ZAO STENDI...
  5. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Pamoja na kwamba Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kimetengeneza ajira kwa watu wengi, lakini kuna jambo moja linaloendelea pale na linaonekana kufumbiwa macho na mamlaka husika. Jambo hilo ni utapeli. Juzi nikiwa kwenye pitapita zangu, nikaona watu wamemzingira mama mmoja wa makamu. Mama...
  6. satininus

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya Magufuli Terminal

    Wadau napenda kuwajulisha kuwa mnapofika katika stand hii na kama unataka kusafiri usiku kuwa kutumia magari maarufu kama IT na hasa ukishukia stand ya daladala unakutana na wapiga debe wanaotangaza kuwa kuna magari ya IT wakati si kweli. Wanachofanya wanakuchukua hadi ndani ya kituo cha...
  7. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

    Sijui niseme ni kukosa hekima au ni makusudi. Baadhi ya makampuni ya mabasi waliamua kukodi ama kujenga vituo vyao binafsi vya mabasi kwa ajili ya urahisi kwa abiria wao na kuepuka usumbufu usio wa lazima kutoka kwa wapiga debe huko stendi na hata wizi. Na naamini kama ni kukodisha ina mana...
  8. MUSHEKY

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tupia jicho kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, Mbezi

    Kwanza nianze kukubaliana na walio wengi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha kupita kiasi kutokana na sababu mbali mbali hasa zile za kiulimwengi hususani tokea mlipuko wa corona na sasa vita vya Russia na Ukraine Ikumbukwe pia baada tu ya kutangazwa bei mpya za mafuta bei za vitu pamoja na...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa siku 7 mabasi yote ya mikoani yawe yanaingia Magufuli Bus Terminal, si Shekilango

    Waziri wa Tamisemi Mhe. Bashungwa leo amesisitiza mabasi yote yaendayo Mikoani pamoja na nchi jirani lazima yapakie na kushushia abiria katika kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wadau wa usafirishaji. Ni vyema waziri kalizungumzia hilo maana hali ilipo...
  10. Balozi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Janjajanja ya wakatisha tickets za kuingia Magufuli Bus Terminal

    Mara kadhaa nimekuwa nikiingia kituo kikuu cha mabasi ya mikoani D'Salaam (Magufuli Bus Terminal). Kinachofanyika kwa baadhi ya wanaochukua ushuru wa kuingia mule ndani kimeniacha na maswali. Unapofika getini na kulipa pesa ili kuingia ndani, baadhi ya wakusanya ushuru wakishirikiana na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

    Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli. Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika. Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  12. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuitembelea stendi ya Magufuli iliyotajwa na CAG kuwa itasababisha foleni

    Kwakweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lissu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni. CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe aliyekuwa anaogopewa ni hayati Magufuli lakini siyo utawala wake, Magufuli Bus Terminal mambo ni vurugu tupu!

    Kiukweli hayati Magufuli aliogopwa yeye binafsi na wala siyo utawala wake kwa sababu kuna maeneo mambo ni vurugu tupu lakini watendaji ni wale wale. Nimefika Magufuli Bus Terminal utaratibu wa ukataji tiketi na mpangilio wa mabasi ni hovyo kabisa. Kwenye parking ya mabasi yaani wanapaki hadi...
Back
Top Bottom