Search results

  1. Lamkyeku

    SoC01 Kunyonyesha watoto wanne miezi 6 mfululizo (EBF) huku nikisoma Chuo, nikiwa mwajiriwa, mama na mke

    Habarini wana jukwaa na wapiga kura! Naomba leo niandike historia yangu fupi kidogo huku lengo likiwa ni msisitizo kwa wanawake wote wanaopambana kujenga familia imara huku wakiwa na ndoto mbalimbali. Mimi ni mama miaka 30, nimezaliwa huko Kaskazini mwa Tanzania, shule ya vidudu mpaka kidato...
  2. Lamkyeku

    Msaada wa kuanzisha consultation firm

    Habari wadau, Baada ya kujadiliana na wadau mbalimbali tukiwa kama watu 10, tumepata wazo la kuanzisha Firm ya Consultation. Nimekuja kwenu kuomba ushauri katika uanzishwaji wa kitu kama hiki. 1. Nini cha muhimu cha kuzingatia kabla ya kuanzisha firm/mahitaji. 2. Changamoto za firm kama hizi...
  3. Lamkyeku

    A GIS and Remote sensing Analyst, looking for Internship

    I’m a girl aged 26 years, I am recently doing my Master’s degree in Remote Sensing and GIS. I have a background in Geography and environment in my undergraduate degree. I can do the following, Create accurate maps and graphs, using GIS software and related equipment and other representations...
  4. Lamkyeku

    Kauli ya Lawrence Masha baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

    Kukamatwa kwa Mhe. Tundu Antiphas Mughwai Lissu (MB) leo tarehe 6 Machi, 2017 Nimepokea taarifa muda mfupi uliyopita kuhusu kukamatwa kwa Mhe. Tundu Lissu (Mb) na Jeshi la Polisi leo asubuhi tarehe 6 Machi, 2017. Hii taarifa nimeithibitisha baada ya kuongea naye Mhe. Lissu kwa njia ya simu...
  5. Lamkyeku

    Hati ya dharura: Naombeni kazi, boss ameninyima ruhusa ya kusoma.

    Hapa kwenye hii ofisi nina mwaka mmoja tu, nilivyoajiriwa hapa niliwakuta wenzangu wengi wakiwa wanafanya kazi na wanaendelea na masomo, wengi walikuwa wanasoma diploma na degree. Mimi nilikuwa tayari nina degree ingawa hapa sifanyi kazi ya proffesional yangu. Kwakuwa nilikuwa na lengo la kusoma...
  6. Lamkyeku

    Msaada: Masters of science in Geographical Information System.

    Nimekuwa nikifuatilia hii kozi kipindi cha nyuma hakukuwa na chuo kinachotoa, ila mwaka jana UDSM walianzisha hii kozi lakini ni evening class, mwaka huu nika apply nikapata, naombeni msaada wa mawazo kuhusu changamoto za hii kozi, au kingine chochote. Nina experience nayo kidogo maana...
  7. Lamkyeku

    Je, historia/malezi inaweza kuathiri ndoto zako?

    Noamba tushare experience! Mimi nilihamia kuishi kwa shangazi yangu nikiwa darasa la pili, alikuwa mlevi sana yeye na mume wake, mtoto wake wa mwisho alinipita miaka mitano wengine walikuwa tayari watu wazima na hawakuwa pale, nikiwa darasa la tatu yeye alimaliza darasa la saba, alikuwa...
  8. Lamkyeku

    Simba Sport Club: Taarifa kwa umma

    SIMBA SPORTS CLUB DAR ES SALAAM 2-10-2016 TAARIFA KWA UMMA Kwa masikitiko makubwa klabu ya Simba imesikitishwa sana na vitendo vilivyofanywa na baadhi ya washabiki wetu,cha kuvunja sehemu ya viti vya Uwanja wa Taifa.kitendo kilichotokea jana kwenye mchezo wetu wa Ligi kuu...
  9. Lamkyeku

    Tundu Lissu amjibu Zitto kuhusu tuhuma za LEAT

    Anaandika Lissu, Fedha gani za Mzungu nilizopigia kampeni mwaka 2015? Fedha zote nilizotumia kwenye uchaguzi wa mwaka jana zilitokana na malipo ya kiinua mgongo tulizolipwa wabunge wote. Niliondoka LEAT mwezi February 2009, zaidi ya mwaka na nusu kabla sijawa mbunge. Kazi ya ushauri wa...
  10. Lamkyeku

    Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

    The problem with CCM is that they don't analyse, they just shoot in the dark hoping to hit the target. So they keep missing the target. CCM attempt to break CUF through Hamad Rashid but failed miserably. The issue is not breaking CUF but rather giving people the leadership they want. CCM has...
  11. Lamkyeku

    Hotuba ya waziri kivuli wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh Peter Msigwa (Mb)

    Waheshimiwa Wadau Wenzangu katika ujenzi wa Amani ya kweli na Ustawi wa Dunia; naomba kutambua uwepo wenu nyote kutoka Jumuiya za Kidini, Serikalini, Vyama vya Siasa, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Asasi za Kiraia na Taasisi mbalimbali; Waheshimiwa sana, Rafiki zangu...
  12. Lamkyeku

    Kwanini mamlaka inataka kuondoa fao la kujitoa.

    Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati sio zake. Pesa hizo zimetumika kujenga UDOM...
  13. Lamkyeku

    Kuachiliwa kwa watu waliokuwa mahabusu

    Wakuu salaam. Watu wetu waliokuwa mahabusu za polisi za Central na OysterBay wameachiliwa kwa dhamana ya Mahakama. The Vwawa Four, yaani waliokamatwa Vwawa, Songwe, walirudishwa Vwawa juzi usiku na jana walifikishwa mahakamani. Leo wametoka kwa dhamana. The OysterBay Five, waliokuwa...
  14. Lamkyeku

    Ushauri: Tatizo la VAT ni kubwa kuliko linavyozungumzwa

    Tatizo la VAT ni kubwa kuliko linavyozungumzwa na kwa ujumla wake linamuathiri mlaji wa Mwisho Bungeni tumeishauri sana serikali itazame upya mfumo wa kodi kwa kufanya reform kubwa ya Tax regime ya nchi yetu Tumeishauri serikali Mambo Muhimu matatu 1)kuiangalia upya Tax base(Wigo wa walipa...
  15. Lamkyeku

    Lissu: Mtazamo juu ya Katiba mpya

    Kuna masuala ya kikatiba ambayo ni sexy, yanavutia sana. Kuna masuala mengine ya kikatiba ambayo sio sexy lakini ni absolutely crucial kama tunazungumzia mageuzi ya kimfumo. Kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais kortini ni sexy lakini haina maana yoyote kimfumo. Hakuna Mahakama duniani...
  16. Lamkyeku

    Tie

    Tujikumbushe kufunga tie!
  17. Lamkyeku

    Picha ya siku

    Kitoweo
Back
Top Bottom