Lamkyeku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 494
- 663
Habari wadau,
Baada ya kujadiliana na wadau mbalimbali tukiwa kama watu 10, tumepata wazo la kuanzisha Firm ya Consultation.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri katika uanzishwaji wa kitu kama hiki.
1. Nini cha muhimu cha kuzingatia kabla ya kuanzisha firm/mahitaji.
2. Changamoto za firm kama hizi zenye watu zaidi mmoja na jinsi ya kukabaliana nazo kuanzia Management nk, maana leo tunataka kukaa kikao cha kwanza.
NB: Sizungumzii kuhusu usajili BRELA.