Lamkyeku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 494
- 667
Nimekuwa nikifuatilia hii kozi kipindi cha nyuma hakukuwa na chuo kinachotoa, ila mwaka jana UDSM walianzisha hii kozi lakini ni evening class, mwaka huu nika apply nikapata, naombeni msaada wa mawazo kuhusu changamoto za hii kozi, au kingine chochote. Nina experience nayo kidogo maana undergraduate niliisoma kama somo.