Search results

  1. M

    Wasukuma wa igunga walishindwa, lakini wameru wameweza

    Makamanda wa Arumeru mashariki walikamata wezi wa kura na waliweza kudhibiti kura za wizi zisiingizwe kwenye vyumba vya kuhesabia! Sasa ushindi umepatikana. hivi ingekuwaje kama Makamanda wa Igunga wangeweza kudhibiti wizi? Wao walimkamata Mkuu wa Wilaya akiwa kwenye harakati, wakati Wameru...
  2. M

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Tafadhali ongezea sababu unayojua bila kupendelea wala kuonea zinazo mfanya Lowasa awe Mgombea wa Urais anayefaa zaidi kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu wa 2015 Ni mwanachama wa CCM mwenye sifa za kuwa mchapakazi makini Ni mwanachama wa Chama ambacho kinatetea na kusimamia maslahi ya mafisadi...
  3. M

    Nyerere on TV Sbuka now

    Namuona Baba wa Taifa kweny TV Sibuka akiwaponda viongozi ambao nchi imewashinda kutawala na badala yake wanakimbilia makando kando. nyerere ni kiboko bwana huyu ni kiona mbali maana mambo aliyosema mwaka 1995 yanatokea hata leo!
  4. M

    Ziara za Kikwete hazina Tija kwa Taifa

    Namuomba Rais Jakaya Kikwete asitishe mara moja ziara anazofanya kwenye wizara mbalimbali kwa sababu hazina tija kwa Taifa na zinasababisha hasara kubwa na kupoteza muda wa kazi mwingi kwa wafanyakazi wa wizara anazokuwa anatembelea. Siku nzima ya jana wafanyakazi wote wa Wizara ya Nishati na...
  5. M

    Ccm na chadema, nani atatuangamiza katika hili??

    Tuache propaganda katika mambo makubwa yanayoweza kuangamiza Taifa, tujadili issues kwa makini tuone nani kati ya vyama hivi viwili anayetupeleka kusiko ili tuonye na kutoa ushauri kwa kuweka mbele mstakabali wa nchi yetu. Baada ya kuangalia mwenendo wa uchaguzi uliopita, tukaangalia mapokeo ya...
  6. M

    Ccm dont push them to much

    Yesterday incidents in the parliament has made me to believe that CCM are not ready to be corrected by anybody and they are afraid of a strong opposition!! sijui wanachofikiria, lakini najua sasa wanawalazimisha CHADEMA waanze kushtaki kwa wafadhili ili nchi hii ikose misaada!!! CCM...
  7. M

    Makala ya wapo radio; utata nchini Tanzania

    Nasikiliza Wapo Radio, wanazungumzia utata katika nchi sikilizeni sasa
  8. M

    Tangazo la maandamano ya amani kupinga kulipwa kwa dowans

    Natangaza kuwa nitafanya maandamano ya amani siku ya jumanne tarehe11.1.11 kuanzia saa nane mchana kupinga serikali kuilipa Dowaans mabilioni ya fedha ambazo ni za udanganyifu! sihitaji kibali cha Polisi wala sihitaji kuungwa mkono na chama changu wala taasisi yoyote. Mimi nitaandamana kama...
  9. M

    Je kikwete amebadilika??

    Hapana shaka Jakaya Kikwete amekuwa akihusishwa sana katika michongo mingi ya kifisadi iliyo wahusisha marafiki zake. Imekuwa ikisemekana kuwa fedha zilizopatikana kwenye michongo hiyo ndizo zilizotumika kumuingiza Ikulu na kwamba anatembea na Hati ya makubaliano kuwa akimaliza kipindi chake cha...
  10. M

    Barua ya wazi kwa zitto kabwe

    Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, na Katibu Mkuu Msaidizi wa CHADEMA. Mheshimiwa, Kwa siku za karibuni jina lako limevuma sana katika vyombo vya habari kwa masuala mbali mbali na Watanzania hasa wanachama na wapenzi wa chama chako wamegawanyika ktk mapande mawili, wengine...
  11. M

    Namuonea huruma kikwete

    Kwa mara ya kwanza ktk historia ya nchi yetu, suala la udini limewekwa hadharani na kiongozi wa nchi baada ya kuwa limetumiwa na chama chake kumdhibiti Prof. Lipumba mwaka 2000 na mwaka huu wakatumia mtindo huo huo kumdhibiti Dr. Slaa asichukue urais. Uchaguzi unaokuja 2015 ambao kwa utaratibu...
  12. M

    CHAMA KIPI CHAWEZA KUJIVUNiA NINI NA KWA MAFANIKIO YAPI?

    Mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania ulianza mwaka 1992 baada wanaharakati wakisaidiawa na Nyerere kuilazimisha CCM kukubali mfumo huo ingawa CCM ilikuwa imeshinda kwa asilimia 85 -15 ya kura za maoni. Tangu kuanza kwa mfumo huo, mabadiliko mengi ya ki utawala ktk nchi hii yamekuwa yakitokea hasa...
  13. M

    Tido mhando na ajira yake, jeff koinage na taaluma yake

    Nyerere na serikali yake walituongoza kwa uadilifu na kutufundisha Elimu ya ujamaa na kujitegemea lakini inaelekea katika masomo yao haya walishindwa kabisa! Kwa nini wana taaluma wetu hawakujifunza kujitegemea? Tido Mhando alifanya kazi BBC kwa mafanikio makubwa, lakini alivyorejea hapa...
  14. M

    Sababu mia za kuwazuia chadema wasiwashirikishe cuf kwenye baraza kivuli

    Baada ya mdahalo wa Freeman Mbowe na Hamad Rashid, zimejidhihirisha wazi sababu zinazo wazuia CHADEMA kuwashirikisha CUF katika baraza la mawaziri kivuli na kuacha kushirikiana nao hadi wakitambue CHADEMA kuwa ni Chama mbadala kinachobeba matumaini ya watanzania. CUF kwa kushirikiana na CCM...
  15. M

    Kikwete kawatosa mafisadi moja kwa moja?

    Uundwaji wa baraza la Mawaziri uliofanywa na Kikwete hivi karibuni kumedhihirisha kuwa Rais Kikwete amejitanabahisha kuwa ktk kundi la Wapiganaji dhidi ya Mafisadi kwa kwaacha nje ya Baraza lake wale watuhumiwa wakubwa wa ufisadi na badala yake akawajumuisha wapiganaji kama Samuel Sitta na Dr...
  16. M

    Fursa za uwekezaji nchi ya Tanzani

    Makampuni ya Kenya yamechangamkia sana fursa za ushirikianao wa afrika ya mashariki, sasa Arusha imekuwa ni eneo maalum kwa uwekezaji kwa wakenya, lakini Tanzania hakuna tulalofanya labda nielimishwe hapa JF. Kwa nini Shirika la bandari lisifungue ofisi zake huko Kigali, Kampala, Bujumbura...
Back
Top Bottom