Kikwete kawatosa mafisadi moja kwa moja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kawatosa mafisadi moja kwa moja?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANALUGALI, Nov 27, 2010.

 1. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uundwaji wa baraza la Mawaziri uliofanywa na Kikwete hivi karibuni kumedhihirisha kuwa Rais Kikwete amejitanabahisha kuwa ktk kundi la Wapiganaji dhidi ya Mafisadi kwa kwaacha nje ya Baraza lake wale watuhumiwa wakubwa wa ufisadi na badala yake akawajumuisha wapiganaji kama Samuel Sitta na Dr H.Mwakyembe.

  Hivi kweli Kikwete ana ubavu wa kumtosa moja kwa moja rafiki yake wa kweli ambaye hawakukutana barabarani? Hivi ana msimamo thabiti wa kukataa matakwa ya Rostam kwenye Serikali yake? Ngoja tusubiri tuone kama hatafanya mabadiliko muda si muda ili kuwaingiza marafiki zake Mafisadi ambao kwa sasa wameachwa.

  Kitendo cha kutowagusa Mahanga Makongoro na Sofia Simba ni ishara ya kulinda connection au ni matokeo ya bahati tu? Hivi Makongoro atakaa amwangalie SIx usoni wakikutana kwenye baraza?
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mimi nafikiri ni makosa san kudhani kuwa Kikwete amejitenga na Mafisadi eti kwa kuwa tu El RA hawako kwenye baraza la mawaziri. Ukumbuke kuwa chama kinaongozwa na vikao na huko ndipo nguvu ya mafisadi ilipo, tumeona jinsi SS alivyotoswa kwa maelezo yasiyojitosheleza na CC, el bado ni mjumbe halali wa vikao vikubwa vya maamuzi ya chama, ra bado ni mfadhili na mshauri mkubwa sana katika mfumo wa uongozi wa nchi.
  Kiongozi yeyote angefanya alichofanya Kikwete ili kupotezea na wananchi wapunguze kelele, na Jambo muhimu sana la kukumbuka kwa sasa ni kuwa, kilichoharibika kwa sasa si mtu mmoja mmoja bali ni mfumo mzima wa uongozi ndani ya nchi chini ya serikali ya ccm, so yeyote anayepewa dhamana ya kuongoza atafanya kazi chini ya mfumo mbovu kabisa usio na tija kwa maisha ya watanzania maskini bila kujali jina ubora na cheo chake.ndiyo maana sitarajii maajabu yoyote kutoka kwa mawaziri wapya bila kujali ni Pombe au Mwakyembye since mfumo ni mbovu hawatafanya maajabu zaidi ya kusubiri maelekezo ya kifisadi
   
 3. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ujasiri wa kumteua Samuel Sitta na Dk. Mwakyembe umetokana na nini? hawa si ndo wabaya wakubwa wa mafisadi? Mie nadhani hivi sasa mafisadi wanasikitika na kunyong'onyea baada ya kumuona Swahiba wao akiwatosa na kuwakumbatia wapambanaji!
   
 4. M

  Mkorosai Member

  #4
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Funika kombe mwanaharamu apite!!!! Anayebisha asubiri uchaguzi wa chama aone Mafisadi na mawakala wao watakavyo peta kwenye Halmashauri Kuu na kamati kuu yao!
  Sitta na Mwakyembe wametiwa changa la Macho.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aaah wapi danganya toto tu hiyooo, LOWASSA and ROSTAM are powerful as ever!!!!!
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  :nono:
  :nono::nono:
  :nono::nono::nono:
  :nono::nono::nono::nono:
  :nono::nono::nono::nono::nono:
  :nono::nono::nono::nono::nono::nono:
  :nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
  :nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
  :nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  JK yeye ni rais kivuli, rais ni RA+EL, Dr wa magumashi anawakilisha tu
   
 8. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  ipi nafasi nzuri kupambana na ufisadi ni uwaziri au ubunge naona kuna lengo la kifisadi kufunga midomo wapambanaji!
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Naibu Waziri haingii kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri, hii iko kwenye katiba
   
Loading...