Je kikwete amebadilika?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kikwete amebadilika??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANALUGALI, Dec 23, 2010.

 1. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana shaka Jakaya Kikwete amekuwa akihusishwa sana katika michongo mingi ya kifisadi iliyo wahusisha marafiki zake. Imekuwa ikisemekana kuwa fedha zilizopatikana kwenye michongo hiyo ndizo zilizotumika kumuingiza Ikulu na kwamba anatembea na Hati ya makubaliano kuwa akimaliza kipindi chake cha urais, atamkabidhi mikoba hiyo Swahiba wake ambaye hawakukutana barabarani na ambaye anachukuliwa kama Fisadi namba mbili Tanzania lakini mchapakazi wa shani.

  Lakini kwa Jakaya Kikwete kuwateua Wapambanaji dhidi ya ufisadi, Dr. Mwakyembe na Samuel Sita kwenye baraza lake la Mawaziri na kuwaacha Eddy Lowasa, Meghji, Rostam Aziz na Prof. Kapuya ni dalili za kubadilika na kuwaacha Maswahiba zake? Je, ameitupilia mbali hati ya makubaliano? au kuna janja ya kuwafanya Wadanganyika wajisahau ili baadaye awaingize kwenye baraza la Mawaziri? Sasa kwa nini aliwateua Mwakyembe na Sita katika baraza lake wakati ni wapambanaji dhidi ya kitu anachotuhumiwa kwake??
   
 2. M

  Mkorosai Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete ni yule yule wa jana na leo! Ufisadi mbele kwa mbele, visasi kama kawa na hao mnao waita kuwa wapiganaji wenu anawavutia pumzi kidogo kidogo ili waingie kumi na nane zake awatimue kwenye uanachama wa CCM! wewe usicheze na chama bwana. Mi nilikuwa huko, napajua sana!!!!!!!!
   
 3. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  JK ni yule jana na leo na Hata milele!!!!!!!!!!!!!!! Tofauti ni kwamba ameamua kuvaa ngozi ya Kondoo kwa muda tu
  TIME WILL TELL!!!!!!!!!!!
   
 4. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  well said

   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mkwere ni mnafiki sana na kamwe hatobadilika ana laana ya nyerere. Mchafu sana hafai kuiongoza nchi yetu tukufu.
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mkwere kaigeuza ikulu kua busynes center ya kuiuza nchi yetu kwa akina somaiya na sinclays, naomc mungu nikishuhudie kifo chake I WISH HiM VERY VERY PAINFUL DEATH.
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  SOmetimes huwa nafikiri huyu mkwere huwa ana nia nzuri na nchi lakini uswahiba wake ndio unamponza.
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu, naomba kutofautiana na nyie mnaosema kuwa Kikwete hajabadilika!
  Sioni sababu yoyote iliyo mlazimisha kuwaingiza kwenye Baraza la Mawaziri hao wapambanaji. Kwa Sitta kuingizwa kwenye baraza naweza kuona kuwa ilikuwa ni janja ya kumpooza baada ya kupokwa uspika, lakini vipi kwa Mwakyembe? Ninataka kuamini kuwa amemuingiza DK. Mwakyembe kama shukrani kwa kazi nzuri aliyoifanya hadi kumkimbiza Lowasa kutoka serikalini.

  Napenda kuamini kuwa awamu ya kwanza ya serikali ya Kikwete ilikuwa ni for expedience lakini kipindi hiki kitakuwa kwa ajili ya kuacha regacy yake hivyo asingependa kuiacha nchi ikimtuhumu na kumlaani!! Nahisi Kikwete amebadilika na sasa hatakuwa akisafiri safiri, atakuwa mchapa kazi na atajihusisha sana na issues zinazo ihusu nchi badala ya kushughulikia watu binafsi kama kilivyokuwa kipindi chake cha kwanza.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  SIDHANI KAMA AMEBADILIKA

  He that knows himself knows others; and he that is ignorant of himself, could not write a very profound lecture on other men's heads.
   
 10. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  He is not changed and will never change. Subiri uone kwanza hii ndo enzi yake ya mwisho then ataacha nchi na ccm vikiwa vimechoka wapinzani kaeni mkao wa kuchukua nchi bana tuanze umpya mana nanyi mmetulia kama hampo kwa sasa mnasubiri kuzima moto. Undeni usalama wa upinzani ili kufatilia usalama wa taifa wa ccm wa kuchakachua matokeo. We are tired we need changeeeeeeeeeee
   
 11. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo mnasema kuwa hawezi kubalidika kamwe au nini?......na kwa nini hawezi kubadilika?
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kama kubadilika anageaanza kubadilika kwenye issue za DOWANS, RICHMOND, KIWIRA, KAGODA, BOT
   
 13. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani kwani Roma ilijengwa siku moja???? angalau kwenye Richmond ameanza kubadilika kwa kuwatuza na kuwapatia uwaziri wapiganaji walio wanyoshea kidole bila uoga waasisi wa Richmond hadi wakatoka serikalini!! tumpe muda, maana naona anabadilika kidogo kidogo!! au mnataka tuongeze pressure ili speed ya kubadilika iongezeke? kama ni hivyo basi tutakuwa tuanakubaliana kuwa Kikwete amebadilika.
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwani somaiya alipewa dili la radar, ndege ya rais, ndege za jeshi, magari ya jeshi na mengineyo mengi na JK?
  You poor man/woman.
   
 15. r

  ral Senior Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapana si kweli, amemfunga Mwakyembe mdomo, anajua mengi ya swahiba wake
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wazima uko kibahaa?
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Hapo huwa najiuliza sana. halafu najiuliza baada ya EPA na mengine ni ufisadi mpya gani umetingisha nchi bada ya JKkuingia madarakani?
   
 18. n

  ngoko JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole pole mkuu, huyo ni mpakwa mafuta wa tz , tumweke mbele za MUNGU ili awe safi
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  labda kama siku hizi ana sikiliza ushauri wa binti yake daktari , na kaachana na wale wavulana
   
 20. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  JeyKey abadilike???

  :peep:
  Yani asichague wakuu wa wilaya washikaji
   
Loading...