Ccm dont push them to much | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm dont push them to much

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANALUGALI, Feb 9, 2011.

 1. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yesterday incidents in the parliament has made me to believe that CCM are not ready to be corrected by anybody and they are afraid of a strong opposition!! sijui wanachofikiria, lakini najua sasa wanawalazimisha CHADEMA waanze kushtaki kwa wafadhili ili nchi hii ikose misaada!!!

  CCM mnachimbia kaburi nchi yetu kwa mambo ya kinafiki mnayofanya maana CHADEMA sasa wataanzisha operesheni Sangara N0. 2 na kuzunguka nchi nzima kuwashtaki kwa wananchi na kunyanyua hasira zao kwa wizi na hujuma mlizofanya wakati wa uchaguzi. Watawaambia wananchi lugha rahisi kwamba nyinyi ni wachoyo wa madaraka kwa kung'ang'ania uongozi wa nchi na kuwanyang'anya nafasi za uongozi wa upinzani!! Wataanzisha Shuttle Diplomacy kama alivyofanya Maalim Sheif Sharrif wakati ule akiwa kwenye upinzani na kuzuia wafadhili kusaidia program zenu maana hazina watchdog na sijui mtamlaumu nani!!!

  CHADEMA get started, hakuna lugha nyingine ambayo CCM wataelewa zaidi ya kututangaza NGUVU YA UMMA ianze kazi. walisema kama tuna hoja tuzipeleke bungeni sasa mambo kama ni haya tufanye nini?
   
Loading...