Search results

  1. Elia

    Gari zuri lakini linapiga kelele sana

    Linapiga kelele sana, yaani kuanzia gia ya kwanza, siku ukiendesha hutakaa utake lingine. Ila utafurahi zaidi ukiliendesha kijijini kule hakuna msongamano mkubwa wa watu na nyumba zipo mbalimbali. Hivi gari la hivyo nifanyeje nalo ili niendelee kulitumia lakini nisisumbue au kukera watu?
  2. Elia

    Nilipotea Nimerudi

    Ni zaidi ya miaka miwili nilikuwa sijaingia humu... sasa nimerudi naona wajukuu wengi sana na ukubwa umesogea flan amazing.... HODI am back. Missed you sana hasa jukwaa hili
  3. Elia

    Hadithi na Majanga yaliyonikuta!

    Hii ni Hadithi ya ukweli iliyo nitokea mimi ila majina ya wahusika sio halisi nimependa kuiandika ili tushirikiane katika uzoefu na changamoto mbalimbali tunazopitia! INTRO Niliendelea kumuangalia kwa Muda mrefu nikiwa sijui nianzie wapi au nianze na neno gani, alinikazia macho nikainama...
  4. Elia

    Tusaidiane hapa?

    Ofisini kwako kuna mfanyakazi (jinsia tofauti na wewe) mnaelewana kiasi (wengi wa wafanyakazi haelewani nao), kifupi wanadai ana ‘mapozi’ kuna kiharufu kibaya humo ofisini wengi wanalalamika kwa hilo ameitwa mfagizi amefanya aliyoweza kufanya sasa ulipokuwa karibu nae anakuelekeza kitu fulani...
  5. Elia

    nilihisi haniamini sasa Simuamini yeye

    amekuwa anapeku sana simu yangu anapekua mikoba yangu anapekua nguo zangu kila anachotaka najitahidi kumpatia hata nikishindwa huwa nimejitahidi sana hapendi kusikia nimemsaidia mtu.. anadai sisi wanaume hatujui kutunza hela... KILICHONIFANYA niandike hii thread leo ni hiki: MOJA ya masharti...
  6. Elia

    soon sitakuwa kijana tena!

    Leo ni birthday yangu namshukuru Mungu ni mzima wa afya, (kwa muonekano na ninavyo jisikia) lakini sifurahii miaka inapoongezeka ningependa niendelee kuwa kijana... Nakwenda kupima ngoma kwani nilijiwekea utaratibu wa kupima "gwengwe" kila ninapo adhimisha birthday yangu. Sijacheza Rafu nyingi...
  7. Elia

    Nifanye nini na huyu mzee jamani?

    Alikuja kusalimia kwa shemeji yangu akapenda kunisalimia na mimi. (mambo ya extended family na kujuana) Kwangu niliambiwa ataondoka baada ya siku mbili lakini ikawa wiki mara mwezi. Akarudi kwa shemeji ikiwa ni safari ya kurudi mkoa nilimuaga na kumpa pocket money. Alipofika kwa shemeji...
  8. Elia

    Join Date : 30th December 2009

    Elia JF Senior Expert Member Join Date : 30th December 2009 Location : magogoni Posts : 2,492 Rep Power : 803 nawashukuru members wote hapa JF, Mods, marafiki niliopata, junior members, senior Expert members na premium members, sinta wamention. Leo Nimekua mmoja ya wadau...
  9. Elia

    Hodi Dodoma

    Nategemea kuwa hapo kuanzia kesho jioni mpaka Ijumaa wadau nifurahi kuonana nanyi..... niwaletee nini kutoka pwani?
  10. Elia

    Mwalimu

    Quote: "Mwalimu haya ni maisha yangu... nimejitahidi kusoma kadiri ya uwezo wangu lakini siwezi kujiamini asilimia 100% kwa somo lako na mtihani ni jumatatu nitahitaji msaada wako kwa namna yeyote nihakikishie then tutamalizana i mean nitakupa i promise"
  11. Elia

    Jf members hodi Mbeya nipeni dondoo

    Heey, members nipo hapa mjini kwa weekend hii. nipeni jiografia na taarifa za kiinterijensia kidogo! Nondo???
  12. Elia

    Nampenda FaizaFoxy

    Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa… nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni...
  13. Elia

    Nasikia unaweza kukonda, kama wewe utafanyaje?

    Umeanza kuimiliki sio muda mrefu Speed yake usipime, ni mchakamchaka unaifurahia lakini unahisi hutakuwa na ubavu wa kuhimili kwa muda mrefu maana kilasiku ndio kwanza kama jana Hakuna cha milima wala mabonde haijalishi mvua inanyesha wala jua kali ni mwendo tu mradi starter
  14. Elia

    Nahitaji Maombi yenu

    Hapa ndio mahali unaweza pata msaada wakati wowote, sinamtu mwingine naweza wasiliananae kwa sasa. Naomba maombiyenu ili tufike salama. Hali ya hewa sionzuri ninakokwenda, tumekaa hewani more than two hrs. Tumefanya emergence landing,
  15. Elia

    Tanzania tunamatatizo yetu, upande wapili nako si haba

    obama anashambuliwa na majamvi kibao, na dude hili limeongeza hasira toka kwa walipakodi wake, kama walivyo toa comments zao. mchuma ni bullet proof, unamlinda hata akishambuliwa na roketi au kemikali
  16. Elia

    Mtu mzima kubakwa......ladies!

    Hebu tujadili kisa hiki: Umekwenda mahali Fulani(ofisini au nyumbani kwa mtu), Ukakaribishwa vizuri, Umesha zoea kukuta watu wengi, Bahati mbaya siku hiyo ukamkuta Jamaa huyu peke yake ambae unamfahamu vizuri Akafunga mlango na kuanza mishemishe za kukubaka. Kama ni wewe utafanyaje? kwenye...
  17. Elia

    Is she okey?...nifanyeje?

    X wangu amegeuka hataki tuachane, nimemuonyesha msimamo wangu, sasa amekuja na sharti/ombi jipya. Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu. I thought she was jocking but dud, she keep on calling, nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all kwani mimi Sasa hivi...
  18. Elia

    Zawadi please!

    Ndugu wana jf, ni zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako au mume/mke wako anaposafiri safari ya muda mrefu kidogo, kuanzia mwezi mmoja mpaka sita? Au ni zawadi gani nzuri upewe wewe unapo safari safari ya aina hiyo?
  19. Elia

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu...
  20. Elia

    Asante AD jf nisaidieni kwa hili!

    Thread ya Afrodenzi Abuse.. (Dhuruma) ilinigusa sana. Mwanzoni wakati ninaanza kuisoma haikunigusa sana lakini baadae niliposoma comments nyingi za wana jf ilinisisimua. Nilikumbuka wakati fulani ilitokea malalamiko kutoka kwa wafanyakazi wenzangu, for me it was a matter of priorities but for...
Back
Top Bottom