Tanzania tunamatatizo yetu, upande wapili nako si haba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tunamatatizo yetu, upande wapili nako si haba

Discussion in 'Jamii Photos' started by Elia, Aug 16, 2011.

 1. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  87fd59b9484ff312f50e6a706700ab13.jpg
  obama anashambuliwa na majamvi kibao,
  na dude hili limeongeza hasira toka kwa walipakodi wake, kama walivyo toa comments zao.
  mchuma ni bullet proof, unamlinda hata akishambuliwa na roketi au kemikali
   
 2. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wenzetu pamoja na kuwa ni taifa kubwa kiuchumi na miundo mbinu yote lakini inapokuja suala la gharama hasa uraisi basi huwa ni suala nyeti kabisa.angalia bus hili limetengenezwa kwa ajili ya raisi wa sasa wa marekani ,raisi mtarajiwa,na viongozi wengine ili kupunguza matumizi ya hela za walipa kodi: Two of these superbuses were commissioned by the Secret Service to chauffeur the commander-in-chief around the country -- along with the eventual Republican presidential candidate and visiting dignitaries. While these babies don't come cheap, the protection service decided the buses, normally leased and retrofitted to provide presidential protection, would pay for themselves over their projected 10-year lifespan.
  The Secret Service won't reveal specifics on the high-tech monster buses but said that they have similar features to "the Beast," a tricked-out limo and the president's regular ride. That official Cadillac comes with thick, reinforced doors and reportedly is equipped with bulletproof glass that can withstand a rocket-propelled grenade or a chemical attack.
  The cruiser has definitely caught notice on the Web. Yahoo! lookups have revved up for "obama bus tour," "obama bus tour schedule," and the "obama bus" in the last day.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sisi ni wachumia tumboni alafu nakutaka maujiko
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuione vizuri!
  [​IMG]
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wengi sana wana HASIRA naye na wangelitaka kumuua. Kuna kundi la Osama wana hasira naye si kawaida. Libya pia wapo kibao. Na baya zaidi ni hili la nyumbani ambalo hawa jamaa wa WHITE POWER watakuwa na hasira naye kuzidi kiasi.

  Mambo si mabaya kama walivyokuwa wakitegemea. Ni rahisi sana kumshambulia Obama sasa hivi ukiwa nje ila ukishatangaza kuwa unagombea, unakutwa na wewe umchafu kupindukia. Republicans wamefanya baadhi ya mambo ya kitoto sana na sasa itakuwa ngumu kutafuta mtu wa kusimama na Obama. Obama aliwatega sana na wao wakaingia mtegoni.

  Hivi ni nani anaeamua juu ya USALAMA WA RAIS WA USA? Ni Rais mwenyewe anaamua kununua dude kama hilo au ni watu wa Usalama?

  Kama wanatafuta wa kulaumu, wawalaumu Kanye West na Jay-Z kwa kuharibu gari la bei chafu na baadaye kutangaza kuwa wataliuza na pesa ziende kuwasaidia Wasomali. Kwa nini wasiliuze likiwa badi zima?
  Kanye West and Jay-Z Auctioning Off Mutilated $373,000 Maybach for Charity - Amplifier
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 280
  Rais wa dunia wacha ajilinde.
   
 8. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mkwe hajaliona? usishangae na yeye akataka wamnunulie kama hilo la kwendea Chalinze....Si unajua lala salama hii
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Hii safi sana! Kuliko kuweka msafara wa magari 20 ya kusindikiza msafara wa mheshimiwa na madereva kibao bora kutumia bus kama hili.. ila kwa bahati mbaya likipinduka itakuwa maafa kwa taifa...
   
 10. wende

  wende JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kupinduka si rahisi,ni basi la kutembelea sehemu maalum kwa tena kwa speed maalum,,,,hakuna kurupushani na foleni. Ni kweli ni very economical na ni msafara mzuri kwa style hii ya basi kuliko kuwa na utitiri kibao wa magari!
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kaka angalia IQ zao, mihogo mitupu.
   
 12. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  A great thinker Chukua 5, Leo hii kuna pull ya vote imefanyika na jamaa kaanza vizuri sana, among Black and latin Americans jamaa kala zaidi ya 60% CNN evining news (bongo morning). atawakimbiza tu watake wasitake hasa hapo kwenye RED
   
Loading...