soon sitakuwa kijana tena!

soon sitakuwa kijana tena!

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
569
Leo ni birthday yangu namshukuru Mungu ni mzima wa afya, (kwa muonekano na ninavyo jisikia) lakini sifurahii miaka inapoongezeka ningependa niendelee kuwa kijana...
Nakwenda kupima ngoma kwani nilijiwekea utaratibu wa kupima "gwengwe" kila ninapo adhimisha birthday yangu. Sijacheza Rafu nyingi mwaka uliopita hope i will smile baada ya majibu then nitakata keki niliyoandaliwa kwa ofisi. Nilizingatia sana fair play.
 
wahenga walisema "fainali uzeeni"...karibu kwenye ngwe ya mwisho inaitwa utu uzima a.k.a fainali
 
leo ni birthday yangu namshukuru mungu ni mzima wa afya, (kwa muonekano na ninavyo jisikia) lakini sifurahii miaka inapoongezeka ningependa niendelee kuwa kijana...
Nakwenda kupima ngoma kwani nilijiwekea utaratibu wa kupima "gwengwe" kila ninapo adhimisha birthday yangu. Sijacheza rafu nyingi mwaka uliopita hope i will smile baada ya majibu then nitakata keki niliyoandaliwa kwa ofisi. Nilizingatia sana fair play.
hbd 2 u!
 
wahenga walisema "fainali uzeeni"...karibu kwenye ngwe ya mwisho inaitwa utu uzima a.k.a fainali

hiyo ngwe naiogopa mkuu lakini nadhani ni kikombe hatuwezi kiepuka
 
hiyo ngwe naiogopa mkuu lakini nadhani ni kikombe hatuwezi kiepuka

haiepukiki, ukiwa mtoto unatamani kuwa mkubwa, ila ukubwa ukikufika unatamani tena kuwa mtoto
 
haiepukiki, ukiwa mtoto unatamani kuwa mkubwa, ila ukubwa ukikufika unatamani tena kuwa mtoto

nakumbuka kulikuwa na mzee mtaani kwetu alikuwa hapendi kabisa kuitwa mzee
 
nakumbuka kulikuwa na mzee mtaani kwetu alikuwa hapendi kabisa kuitwa mzee

wanawake pia huwa wanapenda sana hiyo tabia...hawapendi kabisa kusikia kwamba amezeeka
 
wanawake pia huwa wanapenda sana hiyo tabia...hawapendi kabisa kusikia kwamba amezeeka
watu8 Halafu nasikia wanawake wa hivyo hawapendi kujitizama kwenye kioo na wakijitatama basi huchukua muda mrefuu
 
Last edited by a moderator:
happy birthday Elia
utu uzima dawa karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Ellia

l.jpg
 
Hongera sana kwa kuzaliwa siku hii...Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye neema na baraka tele ila uache kucheza mechi kabla ya ndoa.
 
Happy birthday to you. Angalia dena amsi kakupa keki na maua kwenye jeneza. Uzee bana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom