Mtu mzima kubakwa......ladies! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu mzima kubakwa......ladies!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elia, Aug 10, 2011.

 1. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hebu tujadili kisa hiki:

  Umekwenda mahali Fulani(ofisini au nyumbani kwa mtu),
  Ukakaribishwa vizuri,
  Umesha zoea kukuta watu wengi,
  Bahati mbaya siku hiyo ukamkuta Jamaa huyu peke yake ambae unamfahamu vizuri
  Akafunga mlango na kuanza mishemishe za kukubaka.

  Kama ni wewe utafanyaje? kwenye situation kama hiyo unashauri mtu afanyeje???
   
 2. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanaume ..nitafurahi sana kwani nami nitambakahuyo jamaa awe ni mwanaume au mwanamke..
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mwanaume mimi., msubiri vivian na bibie waje kusema chochote.
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hata Avatar yako inadhihirisha matamshi yako.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  leo kuna threads nyingi za kubaka hapa...
   
 6. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yaani jamaa alinipiga picha wakati natabasamu..subiri siku akinipiga wakati niko serious..
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmh!....
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nisije kubakwa humu bure?
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  kutakuwa na watu wanajiandaa kubaka wenzao na wengine washabakwa.
   
 10. K

  Karry JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kisa ni nn uliwahi kutongozwa?
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Una miaka mingapi??? unampa tu ili msifanyiane vurugu na ni wazi utapata unachostahili....
   
 12. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Privacy with opposite sex hiyo hutokea,hapo ni kupeana tu!
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Mh Huku kunamfaa Jacob Zuma, wacha nisepe.
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni makosa kwa wadada kwenda ofisi ya mtu asubuhi saana
  au jioni wakati watu wanatoka
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Anaefikiri kubakwa ni something to joke about, aendelee kuomba hivyo hivyo lisimfike

  Situation kama ya hapo kwenye thread ikikukuta, piga simu polisi,
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  nimeandika thread hii baada kusoma thread ya MMJ nikakumbuka kisa cha mama mmoja aliyebakwa na fundi umeme alificha siri hiyo kwa muda mrefu sana. hakumwambia mtu yeyote. siku aliyotoa siri jamaa alibaka tena mtoto wa jirani 19yrs. Binti alipiga kelele jamaa akatiwa mikononi mwa wananchi, wakampeleka polisi, kati ya watu waliompeleka hospitali ilikuwa ni pamoja na huyo mama. ndipo alipo niambia kwamba huyu ndio tabia yake huku akitokwa mchozi. Alinieleza stori ya uchungu sana...
  wanawake nani wa kuwatetea jamani akimwambia mwanamke mwenzie hamuelewi akimwambia mumewe ndio usiseme.. ndio maana nimeandika hiyo thread what you can do or suppose to to
   
 17. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mwanaume kwa hiyo mimi ndo nitabaka and not otherwise!
   
Loading...