Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 569
Ofisini kwako kuna mfanyakazi (jinsia tofauti na wewe) mnaelewana kiasi (wengi wa wafanyakazi haelewani nao), kifupi wanadai ana mapozi kuna kiharufu kibaya humo ofisini wengi wanalalamika kwa hilo ameitwa mfagizi amefanya aliyoweza kufanya sasa ulipokuwa karibu nae anakuelekeza kitu fulani, umegundua niyeye ananuka kiharufu kikali
utafanyaje na ofisi sio ya mtu mmoja (pull office). Hebu tushauriane niokoe jahazi