Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
 
Mkuu,
Hakikisha unalishinda hilo jaribu ili hapo mbeleni usije ukaleta matatizo na huyo mchumba wako.Be brave man!!!
 
Simung`unyi maneno, wewe ni fuska, huna lo lote. Mchumba unaye,huyo wa nini? Tayari ni mke wa mtu na ana familia yake. Je mchumbako aakiliwa wewe utakuwa mvumilivu?
 
Sema na roho yako kaka,kama wazuri mbona wazuri ni wengi wasokua na wenyewe kwanini umtake huyo Arage la Mbeya changu asojijua, anakupa time table za mumewe kama anasafiri au laa huoni kama anajisogeza? na mpenzi wako sio kitu tena mbele ya huyo sijui mwenyewe unamuitaje, ebu kua mwanamme mwenye hadhi yako usimpe kila ajae mpe umpendae kwa dhati au hujui maana ya kupenda na kupendwa?
 
Simung`unyi maneno, wewe ni fuska, huna lo lote. Mchumba unaye,huyo wa nini? Tayari ni mke wa mtu na ana familia yake. Je mchumbako aakiliwa wewe utakuwa mvumilivu?

Sitaki kumla mkuu, nilimpa lifti tu na yeye penda kuendelea kusaidiwa kwa hilo kinacho nitisha ni nzuri sana, help me how to avoid her
 
Siumesema una mchumba wewe?!

Yeye sio CUTE?!
Hakuvutii na THE WAY SHE TALKS?!
FIGURE yake hailipi?!
Vyote hivi hana kama huyo mke wa mtu mpaka uone huwezi kujizuia kumtaka/kumkubali?!

Yes nina mchumba ndio maana nataka nisiingie ndani zaidi kuharibu. but she keep on texting and calling me
 
mkuu isije ukawa umeshapiga kazi unakuja jamvini kuomba msaada wa ushauri we kama vipi mpelekwa mchumbako na ajionee mwenyewe vinginevyo mkuu unajitafutia matatizo mkuu..
 
Elia issue niliogundua hapa ni kwamba usha jua kua hafai kua nae karibu na ni dhahiri kua anakuvutia in one way or another uwe nae hasa kwa njia ya kuiba - mumewe kuwa msafiri kama advantage... Ni wanawake wachache walo olewa wana guts ya kujitongozesha kwa wanaume na kama anafanya hivyo kwako naomba ujue wee sio mtu wa kwanza... na bora hata ungekua na wife ... labda angekua na soni kidogo... Hivyo kweli la kufanya la kwanza ni kuacha kuambatana nae na kumchukua kazini as if tayari wewe ndo mumewe.... Kwanza ni hatari hata kama mlikua hamfanyi hivyo wengi watafikiri hivyo... na mjini hapa.... habari zinatembea kwa kasi ya ajabu...
 
Hapo kaka la kukushauri ni uoe wa kwako mzuri halafu uje usikie jamaa anakusaidia ndo utapata jibu kwa sasa achana naye tu huyo mdada wa watu ni upweke unamsumbua.
 
Back
Top Bottom