upande wa mashariki kuna Nondo Mla watu, upande wa magharibi kuna Nganenepa, kusini kuna Andunje na kaskanini kuna jogoo na pazi.
Stend kuna kitimoto na ugali.
siku nyingi sana nilikuwa Mby, kitimoto kwa Vamponji ilikuwa Bab kubwa. Pia Garden bar kule uzunguni
Nashukuru sana wakuu japo ilikuwa ni tight weekend, nilikwenda kwenye harusi ya jamaa yangu. lakini nilienjoy saana. I'm back.. I will be there again Mbeya niliyokuwa naifahamu nimekuta imebadilika sana LAzima nirudi tena... ila nilikosa blanketi
Bwah haha hahahaha!... ila nilikosa blanketi
PJ karibu mbeya,...ntakutafuta mkuunipo mbeya wadau, tutaftane wenyeji.