Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Thread ya Afrodenzi Abuse.. (Dhuruma) ilinigusa sana. Mwanzoni wakati ninaanza kuisoma haikunigusa sana lakini baadae niliposoma comments nyingi za wana jf ilinisisimua.
Nilikumbuka wakati fulani ilitokea malalamiko kutoka kwa wafanyakazi wenzangu, for me it was a matter of priorities but for them was not the priority, tulirekebisha mambo yakaenda vizuri.
Swali langu ni je utajuaje kama una Abuse watu, mke/mpenzi, watoto, jamaa, wafanyakazi nk nk.
Ndugu wana jf hebu nisaidieni, najua wengi tuna-abuse/onea wengine bila sisi kujua au tunatendewa uonevu kwa kudhani ni haki au ndio utendaji kazi.