Search results

  1. R

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Hujaelewa tu swali langu, inapaswa kuwa chochote kinachoathiri watoto kiwe wizara yake. Nimeuliza kama kuna sera inataka ukaguzi au uthibiti wa miundombinu ya shule na sehemu zinazokusanya watoto.
  2. R

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Mhe. Waziri nakusalimu. Pongezi kwako na wizara yako kwa kufuatilia mambo yanahusu wizara yako. Nina swali, hivi kama ilivyo miongozo ya usalama kwenye miundombinu ya umma na binafsi, kuna muongozo unahusu usalama wa watoto? Mfano kuna mipngozo ya OSHA na moto. Kwamba vitu kama mabweni na...
  3. R

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Italian Job Get the Gringo Apocalypto Menace II Society Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

    270k kwa mwezi? Unaweza kutufunza vionjo vya bajeti yako ya siku?
  5. R

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Kuna kijana nilikua namsaidia kujaza amepata mkopo cha chakula na malazi. Ada hajapata.
  6. R

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    RTA haisemi kwamba askari azuie gari kwa kosa la dereva (hapa sizungumzii kwamba gari ni bovu au limehusika katika ajali). Pengine wanatumia sheria nyingine au utashi wa askari husika, ila kumlazimisha dereva kutekeleza jambo fulani. Kuna mazingira hata dereva mwenyewe anaweza kuzuiliwa. Sent...
  7. R

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Kuna kampeni ya kuweka taa kwenye maeneo ya shule, ila bado ni chache. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Naomba maana ya jina lako. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Sheria yetu ya usalama barabarani (Road Traffic Act, 1973) hailazilimishi dereva kusimama bila uwepo wa mvukaji. Sheria inamtaka dereva kusimama endapo kuna mwenda kwa miguu anataka kuvuka. Hata hivyo kuna baadhi ya vivuko vya waenda kwa miguu vyenye alama au mchoro unaosomeka "STOP', hapa ni...
  10. R

    Tanroads Pwani, huyu mhandisi hapaswi kuwa kazini. Mapinga haharibu barabara

    Picha ya eneo moja haitoshi kutoa hitimisho la kumfukuza mtu kazi. Pengine walipaswa kuweka lami ya kushikanisha tabaka la chini ya hivyo vituta. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Mwanangu anashindwa kuingia kwenye akaunti kabisa.
  12. R

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    Ili kufanya ulinganifu wa haki yabidi kujiuliza maswali haya kuhusu vipimo. 1. Bati unazotaka kununua zina vipimo gani kwa upana na urefu? Huwezi kufanananisha bei bila kujua upana kwa mfano kuna za upana halisi (effective width) 75cm, 80cm, 90cm nk. 2. Unene wa bati l; geji 26, 28, 30,32...
  13. R

    Nitamdai vipi hela ndugu yangu?

    Pole sana. Vipi unaonaje hali yake kiuchumi? Ni mtu anayemudu kulipa ila hataki tu? Kuna wengine ni sawa na kuidai maiti. Kama ana uwezo ila hataki, nenda kwa yule mlipaji wako muelezee hali ilivyo, muombe aje kudai kwa kisingizio wewe hutambui kama alimpa dada yako.
  14. R

    Vijana Arusha kuvaa Diapers/Pampers Ni fashion mpya?

    Umeon mmoja ukahitimisha ni Arusha nzima?
  15. R

    Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

    Kama aliamini hii hadithi anaweza kuamini wewe ni Pope.
  16. R

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Umeandika vema. Naona watu wengi wanaandika kwa hisia sana. Feminists wanamhukumu kabisa mwalim Jimmy bila hata kujua anafananaje na kumsikia. Ukimsikiliza binti kuna maswali mengi kwenye mlolongo wa maelezo yake. Kuanzia kuwa bwenini, kutoroka shule, kutokwenda nyumbani, nk Ili kutenda haki...
  17. R

    Kupotea kwa Titan mwaka 2023

    Kuna wafanyakazi wawili waliwahi kuhoji kuhusu uwezo wa chombo na vipimo muhimu ili kuthibitisha ubora na uwezo wa chombo ila waliondolewa kazini.
Back
Top Bottom