Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

Ni hivi nimemueleza mzee wangu kuwa natafuta kiwanja Cha wastani Cha milion tano na nilimpa taarifa ili aniunganishie kwa marafiki zake Lakini ajabu yeye alinipeleka kwenye kiwanja ambacho majina ya kiwanja hicho yameandikwa majina yake na akadai nikishamaliza Deni lake niende nae nikabadilishe majina ya kiwanja hcho

Nimefika omu nikakaa naye chini kumueleza kuwa aniachie kiwanja hicho bure I'll niweze kuanza ujenzi kwa pesa hzo ila amegoma anadai nitafute kiwanja kingine Kama hcho chake siwezi kulipia

Mbna wazazi wengine wanagawa viwanja kwa watoto wao au mm siyo damu yake nn?
Siyo Kwamba Ana shida Sana ya pesa Ila sasa kwann aniuzie

Je huyu mzazi yuko serious kweli au
Sahihi kabisa
 
Ungeenda dukani kwake, tuseme la nguo, ungechukua tu bure kisa ni duka la baba yako? Hiyo ni biashara kama biashara zingine.

Kama alikuhudumia ulipokuwa mdogo, akakusomesha na sasa umejitegemea, alishamaliza jukumu lake.

Yupo sahihi. Lipia kiwanja haraka sana! Au unahofia kuwa atakuwa tajiri kukuzidi?
 
Eeh hii ndio akili sio upumbavu anaotaka mtoa mada. Hata mimi nitafanya hivyo hivyo.
Miaka ya nyuma nilihamia mkoa flani, mzee akanipa task ya kwenda kuangalia maendeleo ya kiwanja chake.

Kwa kweli nilikipenda sana kilikuwa maeneo ya ushuani, nikaanza kumwaga material ya ujenzi, nikampa taarifa mzee nataka nijenge hapo.

Akanipa HONGERA sana kwa kununua kiwanja na kuanza kujenga. Nikamwambia nataka nijenge kwenye kile kiwanja chako.

Alinipa option mbili:-

1. Nisijenge hapo niende nikanunue kiwanja changu kwa sababu hicho ni cha familia, lengo iwe kuongeza viwanja vingine na sio kugawana.

2. Nikanunue kiwanja cha ukubwa huo sehemu nyingine tubadilishane.

Niliopt hii nikaenda kununua kiwanja kizuri cha milioni 5 nikawapa familia. Nikapewa hichi cha mzee ambacho kilikuwa na thamani zaidi ya 40M.

Kile nilichonunua akapewa mdogo wangu wa kike kama Zawadi.

Wanaume tutakula kwa jasho.
Nanunua kiwanja kikubwa kwa ajili ya watoto na wao wakikua wanunue kama hicho kwa ajili ya wajukuu wangu. Inakuwa generational thing na wajukuu nao watafanya hilo hilo. Inasaidia watoto kuishi vizuri sio kinyonge.
 
Bora akuuzie kuliko kukupa, akikupa atakuwa anakukumbusha muda wote.

Sipendi kitu chakupewa, tena kinachodumu
 
Mzee wako yupo sahihi kabisaa,
Hata wewe kama kiwanja umekipenda ni bora ununue hicho cha mzee wako kama ameridhia kukiuza kuliko kwenda kununua kwa wengine maana unaweza ukakwama ukamuazima mzee wako ela akakupa bila shida..
 
Ni hivi nimemueleza mzee wangu kuwa natafuta kiwanja Cha wastani Cha milion tano na nilimpa taarifa ili aniunganishie kwa marafiki zake Lakini ajabu yeye alinipeleka kwenye kiwanja ambacho majina ya kiwanja hicho yameandikwa majina yake na akadai nikishamaliza Deni lake niende nae nikabadilishe majina ya kiwanja hcho

Nimefika omu nikakaa naye chini kumueleza kuwa aniachie kiwanja hicho bure I'll niweze kuanza ujenzi kwa pesa hzo ila amegoma anadai nitafute kiwanja kingine Kama hcho chake siwezi kulipia

Mbna wazazi wengine wanagawa viwanja kwa watoto wao au mm siyo damu yake nn?
Siyo Kwamba Ana shida Sana ya pesa Ila sasa kwann aniuzie

Je huyu mzazi yuko serious kweli au
Wewe ndiye hupo serious kabisa!
Baba yupo sahihi au wataka vya dezo?
 
Huwajali wazazi wako halafu unapenda vitu vyao vya jasho lao wakupe bure ili baadaye mgawane pasupasu na mwanamke utakayemuita mkeo mkiachana?Unaona Ni sawa kabisa?Toa mahela acha kusononeka kama ndama wa tembo kapotelewa wazazi.
 
Brza Kweli wee una mali ya kutosha Kweli utamuuzia mwanao kiwanja
Warren Buffett, baada ya baba yake kuaga dunia, aliamua kuuza kiwanja alichokiacha ili wanawe (watoto wa Warren Buffett) wasije wakabweteka kuwa babu yao aliacha kiwanja, kwamba wasiwe na matumaini ya kupata urithi wa kiwanja kilichoachwa na babu yao.

Unaweza kujifunza nini kwa Mzee Warren Buffett?
 
Sasa kwanin anavirundika viwanja na Wala hagawi kwa watoto ,?

Hata sister aliambia kuwa Kuna siku anatafuta kiwanja mzee kamkazia kuwa atafute pesa milion 5 popote pale ndio ampe kiwanja vingevyo hvyo viwanja ndo biashara anafanya baada ya kustaafu Hadi nyumba Wala jengo lolote la maana Zaid sana Ana viwanja vyake kadha anavyo viuuza kila akijisikia nimesikia kwa maza kuwa mzee hataki kuomba mtoto pesa watakula pesa za viwanja vyao na hataki mtu kuhoji hoji
Sasa kama hamkumuelewa hapa nyie wote mtakuwa na natatizo ya akili.Viwanja vya kupewa Huwa watoto hawana uchungu navo kabisa.Ila ukinunua halafu unanunua kwenu kamwe huwezi kuleta mchezo na hiyo Ardhi.Nikizeeka natamani kuwa huyo mzee.
 
Back
Top Bottom