Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Wengine hadi sasa kwenye system inasomeka "....online appeal window will be open from Nov. 8th.....". Unabaki unajiuliza kama dirisha la rufaa lilishafunguliwa toka tarehe 8 November na tayari lilishafungwa, kwa nini HESLB wanashindwa kubadilisha hiyo notification na kuweka ujumbe mpya unaoonyesha kuwa dirisha lilishafungwa toka tarehe fulani na kwamba kwa sasa waombaji wasubiri matokeo ya rufaa? HESLB kama taasisi kubwa na nyeti inajidharaulisha kwenye jamii.
 
Me too
 
Jamani naomba kuuliza ivi ikiwa Mt umefanya appeal ila kabla majibu ukapata mkopo je kuna uwezekano wa kuongezewa majibu yakitoka mn iyo nilipangiwa pia haitosi
 
Na ukiangalia sababu za rufaa niliweka mbili moja sikupangiwa nyngn n yatima je wanaweza kutizama kwa sababu hii nyengine
 
Hivi kuna yeyote aliyefanikiwa kupangiwa mkopo ama kuongezewa kwenye hili dirisha la appeal?
Tupeane updates humu maana walisema majibu yanatoka Alhamisi ila leo ni Jumamosi lakini hola.
 
bado kimya hadi sasa,na hatuna updates zozote..tuzd kungoja tuu,maaybe
 
Hivi kuna yeyote aliyefanikiwa kupangiwa mkopo ama kuongezewa kwenye hili dirisha la appeal?
Tupeane updates humu maana walisema majibu yanatoka Alhamisi ila leo ni Jumamosi lakini hola.
Kuna kijana nilikua namsaidia kujaza amepata mkopo cha chakula na malazi. Ada hajapata.
 
Wangekuwa hawajatangaza kweli au hata kubandika kwenye website yao? Wanaweza kumalizana na appeals kimya kimya bila kuujulisha umma wa waTZ?
Hawajatoa.
Wameshatoa majibu kwa walio appeal?
Naona waliyo pata na kuongezewa ni wale welio ambatanisha cheti cha kifo Cha mzazi/wazazi na barua ya sponsorship.
Heri yako
Hivi kuna yeyote aliyefanikiwa kupangiwa mkopo ama kuongezewa kwenye hili dirisha la appeal?
Tupeane updates humu maana walisema majibu yanatoka Alhamisi ila leo ni Jumamosi lakini hola.
 
Hawajatoa.
Hivi ni kweli kwamba walisema wangetoa majibu ya appeals Alhamis iliyopita? The statement that the appeal results would be out last Thursday perhaps was just a misconstruation of what was said by the HESLB's CEO.
 
Back
Top Bottom