Wadau naombeni mnisaidie kuna baadhi ya Number sitaki zikinipigia wala kuniandikia SMS zinipate natumia program gani,, niliambiwa kuwa watu wanaotumia samsung galax wanaweza fanya hii kitu ila imeniwia ngumu kwa kutumia NOKIA LUMIA 620 Msaada Please.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wana Jamii forum kwa michango yenu mnayoitoa katika mada mbalimbali humu jamvini kwani imekuwa msaada kwa Watanzania wengi sana Mungu aendelee kuwabariki na awape akili ya kujua zaidi mambo.
Naomba msaada kwenu madaktari na watu wenye utaalamu binafsi mlioupata kwa...
Baada ya kufanyika mabadiliko katika baraza la Mawaziri tulipata kusikia baadhi ya mawaziri wakiachishwa kutokana na kutokuwa na utendaji mzuri au kwa kuonewa kama "walivyojitetea" na Mh. Abdalla Omari Kigoda ambaye aliwahi kuwa katika Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi aliteuliwa kuiongoza...
msaada wenu madaktari naomba mnisaidie sababu zinayoweza kumfanya mtu akatoka povu na damu refer kanumba dearth cause sifikiri kama m2 akianguka tu inaweza kuwa sababu
nataka niache kabisa kutumia vyakula vitakavyo nifanya nipate kolestral, nimeanza zoezi hilo mwezi huu lakini mara nyingi sana najikuta nashinda na njaa kwa kukosa au kutokujua nile/ nipike nini, msaada please wa mawazo
Baada ya kuchukua muda kuifahamu jf na kuvutiwa na yale yanayojiri katika jamvi hili naomba mnikaribishe rasmi,,, naahidi kuwa mchangiaji na mtoa mada mzuri sana katika forum hii,,,,,, Na Mungu anisaidie
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6
NINAUZA TOYOTA MARK II GX 100 ya mwaka 2000 bei 8.8 IMEINGIA TANZANIA MWAKA JANA MWEZI WA SITA mawasiliano 0713 99 45 42 (picha zipo nimeshindwa kuattach hapa)
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzanias central bank, is
looking for suitably qualified Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the
following vacant positions at its Headquarters, Dar es Salaam, Branches (Mbeya &
Zanzibar) and...
Aanza kwa kuukosoa uchaguzi wa waziri mkuu kwani karatasi zilikuwa na serial numbers kitu ambacho kingesababisha aliyepiga kura kujulikana na hivyo dhana nzima ya USIRI kuondoka
salam jf
Wakuu ebu tusaidiane katika hili, network marketing inafanyaje kazi kwa tanzania, tofauti na bidhaa za alovera, kuna bidhaa za ndani ambazo zinatumia mfumo huu wa biashara na kama hazipo kuna uwezekano wa kuwa nazo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.