Toyota mark ii gx 100 ya mwaka 2000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota mark ii gx 100 ya mwaka 2000

Discussion in 'Matangazo madogo' started by 2c2, Mar 3, 2011.

 1. 2c2

  2c2 Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NINAUZA TOYOTA MARK II GX 100 ya mwaka 2000 bei 8.8 IMEINGIA TANZANIA MWAKA JANA MWEZI WA SITA mawasiliano 0713 99 45 42 (picha zipo nimeshindwa kuattach hapa)
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  weka picha
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  hilo limekwisha tumika na unywaji mafuta umeanza kukimbiza sasa sema mie nikupe 6.5M cash au unasemaje dalali?attach picha nikivutiwa naweza kuchukua kwa kuongeza zaidi..
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  mkuu can u be humble kidogo? Kwisha tumika manake ndo nini maana kama ni ya 2002 definately imetumika kwanza huko japani ndo ikaingia hapa

  unaweza kunegotiate price bila kuweka 'vijembe' visivyo na tija wala sababu..heshimu biashara ya mwenzako.
   
 5. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unajua tena vijana wakipata vijisent mapema!!
   
 6. 2c2

  2c2 Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu Gari ni yangu na haijatumika imeingia hapa mwaka jana mwezi wa sita ni kama ndio imeagizwa jana. Picha najaribu kuattach hapa nashndwa ila unaweza piga simu tufanye biashara mi sio dalal nataka nibadilishe gari
   
 7. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Attach file - click hiyo button hapo chini imeandikwa manage attachment, kuna box itatokea click Add file, katika box nyingine itakayotokea click select file, sasa katika hiyo box utatafuta mahali hilo file.

  Nafikiri maelezo haya yanaweza kufanya maisha sasa kuwa na nafuu kidogo, pandika picha wadau wathaminishe na wewe ubadili gari.
   
 8. 2c2

  2c2 Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the following errors occurred:

  mark II.JPG: Upload of file failed.

  ndo message napata kila saa naomba msaada zaidi
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Hujasema kama kuna punguzo. Jamaa wa Nextage cars pale Haidery Plaza wanauza GX 100 ya 2001, CIF Dar kwa dola 3100, mtu anaweza kukimbilia huko akiona bei yako. Punguzo lipo?
   
 10. 2c2

  2c2 Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  punguzo lipo mkuu
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  mkuu heshimba mbele, hivi kwa CIF ya dola 3100 pesa zetu za madafu itakuwa ngapi hadi itembee barabarani?
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  hahahaha mkuu kazi ipo nakwambia!
   
 13. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kma CIF NI 3100 kuja kutoa bandarini na mpaka kuanza kutumia si chini ya dola 3000 tena.
  Hivyo basi kwa approximate itakuwa ni kama dola 6000 USD X 1500=9000,000 TZSH.
  hAYO ni makadirio inaweza ikajuu kidogo au chini kidogo.
  sasa kazi kwako, pia ongeza na mda na usumbufu.
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Nilivyoongea na jamaa hao wa Nextegae cars, wamesema kwamba kodi zote hadi gari itoke bandarini huwa ni 75% ya CIF, kwa maana ya kwamba, katika hiyo dola 3100 unaongeza dola 2325 ambayo ni 75% ya CIF unapewa gari. Jumla ya CIF na kodi inakuwa dola 5425. Hapo wewe unaweka bima na kibao cha namba tu, ambavyo vyote viwili huenda visizidi 500,000/- Kwa hiyo unaweza kumiliki gari ya aina hiyo kwa milioni 8 tu.
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Malizia kusoma mkuu usiishie njiani bluu ishajieleza
   
 16. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu usidanganyike na wafanyabiashara. What i know kwa dola 3100 cif iko juu sana. Unatakiwa ujiridhishe kwanza na cc yake na mwezi iliyotengenezwa maana kama ni ya 2001 kuna uwezekano wa kupigwa uchakavu
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu kwa gari ya 2001 kuna uchakavu. Kwa gari ya 2001 kama gx 1000,ya usd 3100cif, cc above 1500 as par Tra ni izi: import duty-tsh. 1,162,500 plus excise duty-1,698,750 plus VAT(18%)-1,150,875 jumla= 4,012,125 jumlisha Cif=4,650,000,weka plate no.35,000 weka reg.fee kama lak3,GRAND TOTAL=8,697,125/= Ongeza reg.fee lak3 ivi=8,997,125/=. Nadhani hapa tupo wote. Hii ni computation za Tz kwa rate ya 1$ to 1500/=. Mwenye swali tafadhali litunze mpaka nimalize kujenga taifa nisije fuja muda wa kazi.
   
 18. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280

  Mkuu hapo bado hujaweka na gharama za clearing agent, pamoja na port charges! Ukikutana na usumbufu gari yako ikaganda bandarini zaidi ya siku saba itakula kwako.
   
 19. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Mie naomba mnisaidie kuuliza sio ujinga. nini maana ya CIF na CFO
   
 20. g

  gongolamboto JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Mmmmh jamani. Unywaji wa mafuta wa gari yoyote unategemea mtumiaji vilevile. msiharibu biashara ya mwenzenu. Mie ninayo ya 1997. Niliinunua 2006 lakini inapiga hadi 9km/l
   
Loading...