2c2
Member
- Nov 5, 2009
- 98
- 5
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wana Jamii forum kwa michango yenu mnayoitoa katika mada mbalimbali humu jamvini kwani imekuwa msaada kwa Watanzania wengi sana Mungu aendelee kuwabariki na awape akili ya kujua zaidi mambo.
Naomba msaada kwenu madaktari na watu wenye utaalamu binafsi mlioupata kwa kujisomea au kusikia kutoka kwa watu katika suala hili.
Nimetokewa na kauvimbe kichwani kapo kama ngeu, mpaka sasa sijaweza kujua ni nini, nimeenda hospitali tatu tofauti mpaka sasa ila madaktari hawajatambua nini kimenitokea nikaona niwashirikishe ndugu zangu wakati najipanga kwenda kuwaona madaktari wa hosipitali kubwa za Dar es salaam au Arusha sababu uku kwetu mkoani hakuna Hospitali kubwa sana