kutokwa povu na damu mdomoni

2c2

Member
Nov 5, 2009
98
0
msaada wenu madaktari naomba mnisaidie sababu zinayoweza kumfanya mtu akatoka povu na damu refer kanumba dearth cause sifikiri kama m2 akianguka tu inaweza kuwa sababu
 
vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
268
0
najua ripoti itatoka lakini nahitaji kujua the possible causes sababu ripot si lazma iseme ukweli
kutokwa na damu au povu mdomoni mara nyingi husababishwa na ugonywa uitwao pulmonary hypertantion (shinikizo la damu katika mapafu. mara nyingi husababishwa na sehemu ya kulia ya moyo kushindwa fanya kazi (right ventricle heart failure) kutokana na kujaa kwa damu upande wa kulia wa moyo hadi kwenye mapafu. Na hii pia mara nyingi huwapata wale watu wanaotumia madawa ya kulevya, kwani mara nyingi husababisha uvimbe sehmu ya kulia ya moyo (endocarditis) na hivyo kufanya moyo kusimama au kufanya kai isivyotakiwa na kusababisha mapigo ya moyo yawe yanabadilika mara kwa mara (arrhythmias).
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,197
2,000

Ndugu Tiba, hivi kweli hii inawezakana kweli (pulmonary hypertantion) ikatokea suddenly au inachukua muda? Wanasema alipigiza kisogo, kwani ni upande gani wa ubongo unaongoza mapigo ya moyo; naomba unijuze kidogo maanake hili la kutokwa povu na damu mdomoni wakati mtu amepigiza kisogo, kidogo ilinishangaza.
 
pulmonary hypertantion haitokei ghafla, ila kama tatizo ni liko kwa upande wa kulia wa moyo yaawezekana. kuanguka inawezekana tayari ilikuwa ni arrhythmia hivyo huwezi kujua kama mtu ataangukia kichogo au upande au uso. kichogoni kuna kuna sehemu ya ubongo ambayo inaitwa medula oblangata, ambayo hucontrol mapigo ya moyo breathing (respiratory system). Lakini mimi siamini kwamba kuanguka ndo kumesababisha kifo, ila ni hali ya moyo ndo imesababisha aanguke, hata kama kasukumwa labda kama ingelikuwa ni kutoka ghorofani!!!
 
2c2

Member
Nov 5, 2009
98
0
like to vicent na yesterday na wote mliochangia nazidi kufunguka akili ninaposoma comment za kisomi kama iv maneno ya mtaani yalishanichosha
 
vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
268
0
Ndugu Tiba, hivi kweli hii inawezakana kweli (pulmonary hypertantion) ikatokea suddenly au inachukua muda? Wanasema alipigiza kisogo, kwani ni upande gani wa ubongo unaongoza mapigo ya moyo; naomba unijuze kidogo maanake hili la kutokwa povu na damu mdomoni wakati mtu amepigiza kisogo, kidogo ilinishangaza.
umeona mkuu, hata madr wamekuja na majibu kama yangu, ila kuhusu brain consussion ni kwamba nia baada yakuanguka. ukiangalia maelezo ya lulu anasema alimwona kalegea na kuangua, hiyo ni hakika kwamba tatizo kwanza liliuwa kwenya moyo then ndo akaishiwa nguvu na kuanguka. Sidhani kama Lulu anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho mpaka amfanye jamaa apate mtikisiko wa ubongo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom