Nataka msaada siitaji kutumia vyakula vyenye kolestral tena naomba msaada wa mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka msaada siitaji kutumia vyakula vyenye kolestral tena naomba msaada wa mbadala

Discussion in 'JF Doctor' started by 2c2, Dec 28, 2011.

 1. 2c2

  2c2 Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nataka niache kabisa kutumia vyakula vitakavyo nifanya nipate kolestral, nimeanza zoezi hilo mwezi huu lakini mara nyingi sana najikuta nashinda na njaa kwa kukosa au kutokujua nile/ nipike nini, msaada please wa mawazo
   
 2. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Ni vema ukajifunza kwanza kolesteroli ni nini kwa kubonyeza: http://maajabuyamaji2.artisteer.net/kolesteroli/ hapo pia utajifunza namna ya kutumia maji kujitibu na kolesteroli/helemu
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  baadhi ya vyakula vyenye cholesterol kwa wingi ni kama mayai,nyama zenye mafuta ikiwemo kitimoto,mbuzi,ng'ombe etc, pia epuka kupikia animal oil na badala yake pikia vegetable oil.
   
 4. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mbadala wa hizo red meat hapo juu (in bold), tumia white meat kama samaki na nyama ya kuku wa kienyeji.
   
Loading...