OFFICIAL REGISTRATION AS JF MEMBER na Mungu anisaide kusema ukweli

2c2

Member
Nov 5, 2009
98
5
Baada ya kuchukua muda kuifahamu jf na kuvutiwa na yale yanayojiri katika jamvi hili naomba mnikaribishe rasmi,,, naahidi kuwa mchangiaji na mtoa mada mzuri sana katika forum hii,,,,,, Na Mungu anisaidie
 
Join Date : 5th November 2009
Posts : 60
Thanks
2
Thanked 19 Times in 14 Posts
Rep Power : 22

Hii nini hii??toa maelezo yaliyoshiba...otherwise,kila mtu akifanya hivi server itakuwa down within few min..!!
 
Join Date : 5th November 2009
Posts : 60
Thanks
2
Thanked 19 Times in 14 Posts
Rep Power : 22

Hii nini hii??toa maelezo yaliyoshiba...otherwise,kila mtu akifanya hivi server itakuwa down within few min..!!

Inamaana amefanya registration kwa ID nyingine? Kama amefanya hivyo huu ni utoto kwakweli.
 
Back
Top Bottom