Search results

  1. Kidamva

    Waandaaji wa show ya Werrason ni wazembe waliopitiliza

    Nayaandika haya kwa uchunguzi sana kwa jinsi hawa waandaaji wa show ya Werrason Noel Ngiama Makanda aliyekuja Dar wiki mbili zilizopita. Kwanza walisema show itachelewa kwa sababu Werrason amechelewa kutoka Kinshasa kutokana na kutokamilkka kwa passport za wanamuzikk wake. Alikuja jumamosi...
  2. Kidamva

    Tumepoteza sh2 billion, maisha ya watu wawili na majeruhi kibao, ili CCM ipate wabunge wawili

    Katika uchaguzi mdogo wa Kinondoni na Siha, CCM imeshinda, lakini Watanzania tumepoteza maisha ya watu wawili waliouawa kikatili. Polisi wanasema watachunguza, serikali inasema itagharamia mazishi, lakini roho zao hazitarudi tena. Wanachoweza kuridisha ni utawala wa demokrasia, kwani kama...
  3. Kidamva

    Kulikoni ITV na Chadema?

    Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo. Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance. Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
  4. Kidamva

    CCM itang'oka kwa aibu kama Mugabe

    Huu ni utabiri wangu na mtakuja kuukumbuka. Ni kweli ulio wazi kwamba Watanzania wengi wameichoka CCM, lakiji wanashindwa kuiondoa madarakani kwa sababu Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais was nchi ndiye mwenye madaraka ha kuunda na kuisimamia Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC). NEC ndiyo inaamua...
  5. Kidamva

    Hivi Inafrica band iko wapi siku hizi?

    Miaka ya 2000 kulikuwa na band Kali basi Inafrica walitisha na vibao kama Indege, Julie, Yalayala ya shababi. Nawakumbuka wanamuziki kama Bob Rudala, Bizman na wengineo walikuwa wakali sana jukwaani. Nawamiss
  6. Kidamva

    Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji. Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana. Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa...
  7. Kidamva

    Evarist Chahali amjutia Rais Magufuli

    Huyu Everist Chahali alikuwa miongoni mwa waandishi waliompigia debe la kufa na kupona Rais John Magufuli wakati wa uchaguzi 2015. Lakini kwa sasa anajua. Endelea kusoma: ******* Mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka juzi nilipata ujumbekutoka kwa watu kadhaa wakinieleza kuwa kwa namna moja au...
  8. Kidamva

    Hivi kwanini ITV wamemwamini Sam Mahela kuendesha kipindi cha Dk45?

    Jana nimeangalia kipindi cha Dakika 45 ITV nimesikitishwa sana na Sam Mahela alipokuwa akimhoji Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro. Of course alikuwa na maswali ya msingi mazuri, lakini anakosa follow up questions, matokeo yake anamwacha mhojiwa atiririke tu hata kama hayuko sahihi. Kwa...
  9. Kidamva

    CCM sasa wamebaki "kupora" madiwani na kutumia nguvu ya Polisi

    Kuna kila dalili kwamba CCM sasa imeishiwa pumzi, kiasi cha kishindwa kujibu makombora ya wapinzani wao. Kombora hili la bombardier lililorushwa na Lissu majuzi hapa ndio limewaacha hoi kabisa. Kaimu msemaji wa Serikali Zamaradi Kawawa amekiri kuwa ndege imeshikiliwa na kutupa lawama kwa...
  10. Kidamva

    Benki za CRDB na NMB zashuka kimapato kwa mwaka

    Hapa kazi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kidamva

    Bulembo keshamrithi Kinana?

    Tangu Katibu Mkuu wa CCM 'alipotumwa' kwenda kutibiwa India, naona ameshindwa kujitokeza hadharani ukiondoa siku ya mazishi ya watoto wa Luck Vincent Arusha tu. Enzi za Kikwete, Kinana alikuwa active na akizunguka mikoani kuimarisha chama. Lakini siku hizi nafasi imechukuliwa na aliyekuwa...
  12. Kidamva

    Anachokitetea Lissu kwenye mchanga ndio kinachotokea IPTL

    Kumekuwa na malumbano kuhusu hatua ya Rais Magufuli kukomalia mchanga wa dhahabu (makinikia). Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekosoa hatua hiyo akisema kinachotakiwa ni kufunga mikataba kwanza vibginevyo tutashitakiwa na tutashindwa. Hali hiyo ndio inayojitokeza kwenye mkataba wa...
  13. Kidamva

    Polepole usimlazimishe Rais kuleta Katiba mpya

    Nimemsikia Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akisema kuwa mchakato wa Katiba utakuja baada ya Rais Magufuli kuinyoosha nchi. Hata muda huu anaongea kwenye kipindi cha Sema kweli (Chanel 10). Hivi lini Rais Magufuli aliahidi kuleta Katiba mpya? Mwenyewe alishasema suala hilo...
  14. Kidamva

    Bunge la Tanzania linairudisha nyuma nchi

    Nimesikitishwa sana na jinsi uchaguzi wa EALA ulivyoendeshwa kiasi cha kuvikosesha vyama vyanye haki wabunge wa mujibu wa kanuni. Inaeleweka kwamba CHADEMA ndiyo chama kikuu cha wapinzani na kilikuwa na haki ya kupata nafasi 2, lakini wa figisu za wabunge wa CCM wamewanyima hizo nafasi. Lengo...
  15. Kidamva

    Kuku wa nyama (broilers) pasua kichwa

    Salamu wana JF Naleta mada hii ya uzoefu wangu katika kufuga kuku wa nyama (broilers). Nimekuwa mfugaji kwa miezi sita sasa. Awali nilipewa matumaini sana kuwa wana biashara nzuri kama ambavyo wengi wanavyoaminishwa humu. Lakini ufugaji huu una changamoto nyingi kiasi ambacho faida yake...
  16. Kidamva

    Treni ya Umeme huu wa mgawo?

    Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo? Wenzetu nchi zilizoendelea wanatumia umeme wa nuclear, sisi bado tunabangaiza na umeme wa maji kidogo na gesi. Bado hatujawa na umeme wa Uhakika...
  17. Kidamva

    Hivi kwanini Serikali haitaki kukiri kuwa hali ya uchumi imeyumba kwa mwaka 2016?

    Leo nimemsikia Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Philip Mpango akoeleza hali ya uchumi kwa mwaka 2016. Ameanza kwa kusifu uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 7% kuliko nchi nyingi za Africa zikiwemo zote za Afrika Mashariki. Amezitaja sekta zinazokua haraka ni madini, ujenzi, usafirishaji na...
  18. Kidamva

    Hii picha imebeba siri kubwa

  19. Kidamva

    Smart phone njia nyeupe ya kuendea jela

    Wakati teknolojia ya mawasiliano ikiendelea kupaa tumeshuhudia ongezeko la mawasiliano ya mitandao ya jamii. Lakini kutokanabna sheria kali ya Cyber crime kuna uwezekano watu wengi mwaka huu na miaka ijayo wakaozea jela. Sheria hii inakwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano inayolinda...
  20. Kidamva

    Pascal Mayalla aipigia debe NEC Nanenane

    Nilikuwa naangalia maonyesho ya 88 star TV, naona Pascal Mayalla akiipigia debe NEC, huku akisema eti maswali yote ya wana JF yatajibiwa. Ameponda wale wanaodai kuwa wana rais wa mioyo yao....
Back
Top Bottom