CCM itang'oka kwa aibu kama Mugabe

CCM itang'oka kwa aibu kama Mugabe

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,852
Reaction score
3,093
Huu ni utabiri wangu na mtakuja kuukumbuka. Ni kweli ulio wazi kwamba Watanzania wengi wameichoka CCM, lakiji wanashindwa kuiondoa madarakani kwa sababu Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais was nchi ndiye mwenye madaraka ha kuunda na kuisimamia Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC).
NEC ndiyo inaamua kumtangaza mshindi yoyote inavyotaka. Matokeo ya urais ndio kabisa hayatakiwi kuhojiwa.
Hivi kama chama kinapendwa na wananchi, mbona kimejitwisha madaraka makubwa kiasi cha kuvuruga demokrasia?
CCM wajue hata Mugabe hakupanga kujiuzulu kipindi hiki, hakujua kama jeshi litamgeuka, alidhani mambo yatakuwa shwari hadi afie ikulu.
Nyerere hakuwa mjinga kuruhusu vyama vingi hata kama wengi hawakuvitaka.
CCM hawataki mabadiliko ya Katika maana wanajua iliyopo inawalinda. Wanadhani wataishi milele madarakani, lakini ipo Sikh wataondoka madarakani kwa aibu kama Mugabe.
 
Ccm haitoweza kutoka madarakani kwa siasa za aina ya kina patrobas katambi na Masha
 
Ni Mbowe ndio yatamkuta yaliyomkuta Mugabe. Afadhali aanze kuandika barua ya kujiuzuru mapema. Asome alama za nyakati.
 
ni aibu sana. chama kinahangaika kutumia mabilioni ya walipa kodi kuhonga wapinzani na kuwanunua badala ya kuongeza kwenye bajeti ya bodi ya mikopo ili watoto wetu wasome.
 
Haitatoka wala kuruhusu mabadiliko ya katiba kwa maneno, shinikizo kubwa toka kwa umma linatakiwa, au tusubiri mpaka watakapowapa madaraka makubwa watu kama bashite aka grace mugabe.
 
FB_IMG_1511293354012.jpg
 
Kidamva hujui usemalo. Mugabe katolewa na Chama, hakutolewa na wapibzani. Katolewa kwa heshima, everything considered, hatujasikia mtu akidai ushindi (ingekuwa hapa Lema na Lissu wangeuana kila moja akidai yeye ndiyo mshindi). Ingekuwa Kenya wakora wa Kariobangi wangevunja maduka ili waonekane wameshinda wao na Jaji Mkuu angemhukumu kunyongwa aweke rekodi. Jeshi ndiyo limemtoa lakini hawajaomba sifa wala asante, wamesharudi barracks. Ni kama jeshi la CCM. Ni jeshi la CCM huyo mkuu wa majeshi tulikuwa naye Temeke.
 
Mugabe ni mtu,ccm.ni chama.

Nilidhan mtafurahia anguko la chama tawala zimbabwe kumbe mnafurahia anguko la mugabe huku chama tawala kikiendelea kupeta.
Mkuu hilo ufipa hawajui wao wanashangilia Mugabe kutoka madarakani wakati waliofanya the whole process ni wanachama wa ZANU pf together with ZDF.
 
Huu ni utabiri wangu na mtakuja kuukumbuka. Ni kweli ulio wazi kwamba Watanzania wengi wameichoka CCM, lakiji wanashindwa kuiondoa madarakani kwa sababu Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais was nchi ndiye mwenye madaraka ha kuunda na kuisimamia Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC).
NEC ndiyo inaamua kumtangaza mshindi yoyote inavyotaka. Matokeo ya urais ndio kabisa hayatakiwi kuhojiwa.
Hivi kama chama kinapendwa na wananchi, mbona kimejitwisha madaraka makubwa kiasi cha kuvuruga demokrasia?
CCM wajue hata Mugabe hakupanga kujiuzulu kipindi hiki, hakujua kama jeshi litamgeuka, alidhani mambo yatakuwa shwari hadi afie ikulu.
Nyerere hakuwa mjinga kuruhusu vyama vingi hata kama wengi hawakuvitaka.
CCM hawataki mabadiliko ya Katika maana wanajua iliyopo inawalinda. Wanadhani wataishi milele madarakani, lakini ipo Sikh wataondoka madarakani kwa aibu kama Mugabe.

Ishu ya Zimbabwe kamwe na haitokuja kufanana hata kama CCM ikitoka madarakani: why
ZANU pf ambacho ndicho chama cha Mugabe ndicho kilichoona Mugabe aachie ngazi wakiongozwa ZDF.
wanachama wa ZANU pf pamoja na bunge walitaka kupiga kura za kutokua na imani ni kiongozi wao wa chama ambaye pia ni rais. Hii ni kutokana na
Umri wake, hali ya kiuchumi kuzorota, maisha ya wananchi na kushuka kwa thamani ya shilingi.
Baada ya Mugabe kumwandikia barua spika wa bunge kuwa amejiuzuru kwa hiyari wananchi walishangilia kwa furaha si kwasababu ZANU pf imeondoka madarakani Bali ni kwasababu mzee Mugabe amepumzika, Hata atakayemrithi Mugabe kwa mujibu wa taarifa ni aliyekua makamu wake wa rais kabla kumtimua na kumfuta uanachama kwa shinikizo la mkewe bi Grace Mugabe.
 
Back
Top Bottom