Hivi Inafrica band iko wapi siku hizi?

Hivi Inafrica band iko wapi siku hizi?

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,852
Reaction score
3,094
Miaka ya 2000 kulikuwa na band Kali basi Inafrica walitisha na vibao kama Indege, Julie, Yalayala ya shababi.
Nawakumbuka wanamuziki kama Bob Rudala, Bizman na wengineo walikuwa wakali sana jukwaani. Nawamiss
 
Bado wapo kiongozi sema huwa wanapiga shows zao nje ya nchi sana, pia Msanii Steve rn ni mmoja Wa member Wa kundi
 
Back
Top Bottom