Kidamva
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,578
- 1,984
Tangu Katibu Mkuu wa CCM
'alipotumwa' kwenda kutibiwa India, naona ameshindwa kujitokeza hadharani ukiondoa siku ya mazishi ya watoto wa Luck Vincent Arusha tu.
Enzi za Kikwete, Kinana alikuwa active na akizunguka mikoani kuimarisha chama.
Lakini siku hizi nafasi imechukuliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa wazazi Abdallah Bulembo (MB) anayefanya ziara mikoani na kutoa maamuzi mazitozito.
Ziara za Bulembo zinapewa uzito kuliko hata Naibu Katibu Mkuu Bara, Mpogoro ambaye hata hasikiki.
Kwanini Bulembo anapewa uzito hivyo wakati hayumo hata kwenye sekretarieti? Je, Kinana amepigwa chini kimyakimya? Au amesusa?
Nawasilisha.