Search results

  1. Kisusi Mohammed

    Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Habari za majukumu wanajamii, Habari hii ni kupata uzoefu zaidi, kutahadharishana na kuwekana sawa wakati huu mgumu wa uchumi wa kati. Nimekutana na matukio mawili kwa nyakati tofauti ya kuibiwa na wahudumu wanaotoa huduma ya kuweka mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha TOTAL kilichopo...
  2. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Pikipiki nzuri, imesajiliwa Tanzania mwaka 2018, inatembea vema na ipo Dar es salaam kwa sasa. Bei ya kuanzia mazungumzo ni million 11 (pesa ya Tanzania milioni kumi na moja), mazungumzo yanaruhusiwa. Hakuna dalali, mimi ni mmiliki. Tazama picha zilizoambatanishwa kwa ufahamu zaidi. Ahsante...
  3. Kisusi Mohammed

    Biashara kwa kutumia mtandao

    Make easy money by simply registering and follow instructions (Jitengenezee pesa rahisi kwa kujisajili na kufata maelekezo): Click Youthnize.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job
  4. Kisusi Mohammed

    Biashara: Ninauza Scooter Scoopy, Honda 125Cc ya mwaka 2000

    Habari za majukumu wanajamvi, Ninauza scooter yangu yenye specifications zifuatazo: Imetengenezwa mwaka 2000, Japan Make yake ni Honda Model ni Scooter, Scoopy Ina 125Cc Imetembea 25,000 Kilometres Ina usajili na imelipiwa kodi zote. Namba yake ni BDR Kwa anayehitaji anicheki kwa namba...
  5. Kisusi Mohammed

    Nauza Samsung Galaxy Note 3 Chlone

    Habari za majukumu wakuu, Leo nimekamatwa na ukata nahitaji Pesa chapchap. Ninauza Samsung galaxy note 3 chlone. Ipo vizuri, nimeitumia mwezi mmoja ila screen imecrack kiasi. Bei ni laki 3 na nusu (350,000). Kwa anayehitaji anichek kwa 0768111123 (call, SMS au whatsapp) Ahsanteni
  6. Kisusi Mohammed

    Nani atakuwa mkombozi wa watumiaji wa pantoni Kigamboni?

    Habari za majukumu waungwana, natumai tutakuwa na afya njema na uzima. Kwa wenye matatizo ya aina yeyote poleni na Mungu ni muweza wa kila jambo yatapata suluhisho na yatakwisha. Leo katika kupitia hii mitandao ya jamii nimekutana na mada imenivutia na kunitia hamasa kiasi cha kutaka tutumie...
  7. Kisusi Mohammed

    Nauza Carina S.I Dar es salaam

    Habari za majukumu waungwana, Hongera kwa kumaliza mfungo kwa waislamu, nachukua fursa hii kuwaletea Carina S. I iliyo katika hali nzuri, bei yake ya kuulizia ni Tshs. 7.8million, mazungumzo yanakaribishwa kwa walio serious. Gari ipo Dar es salaam. Kwa muhitaji waweza pm au piga/sms/whatsapp...
  8. Kisusi Mohammed

    BIASHARA: ASALi MBICHI YA NYUKI WAKUBWA KUTOKA TABORA

    Habari za majukumu waungwana, Natumai sote ni wazima na tunaendelea vema na uwajibikaji wa kila siku. Kuna asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora, inapatikana Dar es salaam kwa wingi, tunauza kwa kila dumu la lita 20 Tshs. 150,000/= (Maongezi yanaruhusiwa kama utahitaji kiasi kikubwa)...
  9. Kisusi Mohammed

    Nyumba ya kawaida kwa familia inapngishwa mwanza-nyakato buzuruga karibu na mtena 'b'

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, Awali ya yote naomba radhi kwa sababu natangaza biashara bila picha (na sitaweza kuweka picha hata baadae), sababu ni kwamba nipo mbali na biashara ilipo. Nachukua fursa hii kutoa taarifa kwenu, mahsusi kwa wale waliopo MWANZA au wanaotaka...
  10. Kisusi Mohammed

    Kuku wa kienyeji na mayai ya kienyeji kwa wakazi wa dar es salaam

    biashara biashara biashara ya kuku wa kienyeji: Habari za majukumu waungwana, natumai tunaendelea na ujenzi wa taifa km kawaida, nina kuku wa kienyeji, majogoo zaidi ya 80, wanauzwa wakiwa wazima, bei ya jumla ni elfu 15 za kitanzania, kwa anaehitaji tuwasiliane kwa 0768111123,wapo kigamboni...
  11. Kisusi Mohammed

    Sale, sale sale: Vitu vya ndani kwa bachelor wa mwanza!

    Habari za majukumu wanaJF, Ninauza vitu vya ndani vifuatavyo ambavyo vipo MWANZA, MABATINI: Kitanda cha 5" * 6" (cha mbao ya mninga) na godoro lake la Tanfoam - 230,000/= Makochi mawili, La seat 1 na la seat 2 (Ya PVC) - 650,000/= Stand ya TV (Ya Kioo)...
  12. Kisusi Mohammed

    Uhalisia: Hali ya zao la Pamba kwa hivi sasa inasikitisha sana!

    Hapa nikiwa najaribu kupembua baina ya siasa "maji taka kwenye mazao ya biashara" na utekelezaji wa kweli kwny sehemu husika, zao hili la pamba ni mojawapo ya rasilimali itakayopotea kabisa muda mfupi ujao kutokana na "siasa chafu" inayoendeshwa kuwadidimiza wakulima, picha hizi ni baadhi ya...
  13. Kisusi Mohammed

    MSAADA: Account yangu ya GMAIL haifunguki

    Habari za majukumu wanajamii, Nimekumbwa na hili tatizo la kutoweza kufungua GMAIL account yangu kwa takriban siku 4 sasa, nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini lkn nimeshindwa kupata majibu ya kufumbua tatizo hili! Naombeni msaada wenu ili niweze kupata access ya gmail account yangu...
  14. Kisusi Mohammed

    Manung'uniko nafsini: Tabia ya ukosefu wa uungwana wa kibiashara kwa Precision Air!

    Habari za majukumu waungwana, natumai Mungu anatujaalia hali njema na afya za uhakika mpaka tunapata fursa za kupita huku jukwaani na kuweka hisia zetu. Ni muda mrefu nimekuwa nikiamini ya kwamba ndege ni usafiri wa haraka na hurahisisha shughuli za kijamii hasa kwa wafanyabiashara na watu...
  15. Kisusi Mohammed

    Biashara ya kubadilishana (a.k.a burter trade), rav 4 kwa gx 100 au carina + vijisenti au kuuziana

    Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5, niliagiza toka Japan mwaka 2011 mwezi wa 12, nikaitumia kwa mwezi mmoja na kwa bahati mbaya...
  16. Kisusi Mohammed

    Biashara ya kubadilishana (a.k.a burter trade), rav 4 kwa gx 100 au carina + vijisenti au kuuziana

    Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5, niliagiza toka Japan mwaka 2011 mwezi wa 12, nikaitumia kwa mwezi mmoja na kwa bahati mbaya...
  17. Kisusi Mohammed

    Tafakari: Vitambulisho vya taifa

    Assalaamu alaykum, hongereni kwa swaum. Hili zoezi la vitambulisho vya taifa sijalifatilia kwa undani, ila kwa mtazamo wa jumla linaonekana kuwa na nia njema na wananchi wa Tanzania. Kinachonipa tabu katika zoezi hili ni kuhusu mchakato wa utoaji taarifa kwa wananchi, uandikishaji, vitendea kazi...
  18. Kisusi Mohammed

    MSAADA: Naomba kufahamishwa utatuzi wa tatizo hili

    Habari za majukumu wakuu, Nimekumbana na tatizo ambalo sjawahi kuliona kabla. PC yangu inatoa message "YOU MAY BE A VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING, THIS COPY OF WINDOW DID NOT PASS GENUINE WINDOW VALIDATION" kila ninapoiwasha. Naombeni msaada wa tatizo hili maana nimejaribu kila njia...
  19. Kisusi Mohammed

    Magari yanauzwa

    Gari aina ya Suzuki Carry zinauzwa, zipo pieces 10, zimeingia nchini kutokea Japan, zimelipiwa kila kitu mpaka registration, kuweka specification ya zote kwa mtindo wa moja moja ni ngumu Ila kwa ujumla ni km ifuatavyo :Zina 950Cc, zinatumia petrol, ni manual transmission, zimetembea kati ya...
  20. Kisusi Mohammed

    Tangazo: Gari inauzwa

    Habari za majukumu wakuu, natumai mna afya njema. Ninauza gari yenye maelezo yafuatayo: Aina: Nissan Bluebird Year of make: 1995 Colour: Dark Metallic Blue (imeungua na jua) Odometer: 127,000 Fuel: Petrol Cc: 2000 Transmission: Automatic With A/C, CD and tape player, airbag...
Back
Top Bottom