Biashara ya kubadilishana (a.k.a burter trade), rav 4 kwa gx 100 au carina + vijisenti au kuuziana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kubadilishana (a.k.a burter trade), rav 4 kwa gx 100 au carina + vijisenti au kuuziana

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kisusi Mohammed, Jul 29, 2012.

 1. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5, niliagiza toka Japan mwaka 2011 mwezi wa 12, nikaitumia kwa mwezi mmoja na kwa bahati mbaya nikapata nayo ajali, nimeitengeneza ila kuna vitu vichache havijakamilika, nami nipo kwenye wakati mgumu kidogo nahitaji kuuza (12,000,000) au kubadilishana na mtu ambae ataweza nipatia CRESTA GX 100, au CARINA zilizo katika hali yoyote lkn namba iwe inaanzia B, kama tutabadilishana ntaangalia hali ya hiyo gari unayonipa halafu tutathaminisha na yangu uniongezee pesa kiasi.

  Ntashukuru kwa biashara hii.

  Kwa atakaekuwa tayari kwa biashara hii anaweza kuniPM au kunitumia mail kwa mkisusi@gmail.com au kunicheck kwa 0715555512
   
 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Wewe hulitaki gari lililopata ajali au unashida ya hela? Mi nitakupa 8 mil kwa gari lako coz lilipata ajali.....PM please
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ungeweka wazi ni vitu gani ambavyo havijakamilika
   
 4. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Vitu ambavyo havijakamilika ni set-up ya umeme wa milangoni kwa maana ya locking system na vioo pamoja na baadhi ya covers za ndani za milango, pia umeme wa A/c haujasetiwa! Vingine vyote viko poa kabisa.
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Wadau mko wapi tuje tujadili biashara hapa?
   
Loading...