Nauza Carina S.I Dar es salaam

Nauza Carina S.I Dar es salaam

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
563
Reaction score
473
Habari za majukumu waungwana,

Hongera kwa kumaliza mfungo kwa waislamu, nachukua fursa hii kuwaletea Carina S. I iliyo katika hali nzuri, bei yake ya kuulizia ni Tshs. 7.8million, mazungumzo yanakaribishwa kwa walio serious.

Gari ipo Dar es salaam. Kwa muhitaji waweza pm au piga/sms/whatsapp 0768 111 123

Mbarikiwe sana.

Picha zipo kwenye attachment.
 

Attachments

  • 1406590661280.jpg
    1406590661280.jpg
    76.4 KB · Views: 399
  • 1406590730612.jpg
    1406590730612.jpg
    60.9 KB · Views: 343
  • 1406590789588.jpg
    1406590789588.jpg
    56.3 KB · Views: 346
  • 1406590875295.jpg
    1406590875295.jpg
    76.5 KB · Views: 340
  • 1406590926920.jpg
    1406590926920.jpg
    66.6 KB · Views: 327
  • 1406591025894.jpg
    1406591025894.jpg
    73.5 KB · Views: 325
Bora tuuze tu hii kitu,

ile Platinum itahusika sana mwaka huu!!
 
Kweli Shark, acha tubaki na miguu 2, hizi habari za ubwanyenye tuwaachie mabwanyenye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom