Biashara ya kubadilishana (a.k.a burter trade), rav 4 kwa gx 100 au carina + vijisenti au kuuziana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kubadilishana (a.k.a burter trade), rav 4 kwa gx 100 au carina + vijisenti au kuuziana

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kisusi Mohammed, Jul 29, 2012.

 1. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5, niliagiza toka Japan mwaka 2011 mwezi wa 12, nikaitumia kwa mwezi mmoja na kwa bahati mbaya nikapata nayo ajali, nimeitengeneza ila kuna vitu vichache havijakamilika, nami nipo kwenye wakati mgumu kidogo nahitaji kuuza (12,000,000) au kubadilishana na mtu ambae ataweza nipatia CRESTA GX 100, au CARINA zilizo katika hali yoyote lkn namba iwe inaanzia B, kama tutabadilishana ntaangalia hali ya hiyo gari unayonipa halafu tutathaminisha na yangu uniongezee pesa kiasi.

  Ntashukuru kwa biashara hii.

  Kwa atakaekuwa tayari kwa biashara hii au anataka kuiona gari anaweza kuniPM au kunitumia mail kwa mkisusi@gmail.com au kunicheck kwa 0715555512
   
 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  My offer is 8 mil, PM
   
 3. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  NimekuPM mkuu
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Pole sana gari mpya ndani ya mwezi mzinga inauma sana(mizambwa)
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  King Kong, yaani we acha tu, inauma, ila kwa vyombo vyetu vya moto ni mambo ya kawaida!
   
 6. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Jamani wadau, hebu njooni hapa tuongee biashara.
   
Loading...