Magari yanauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari yanauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kisusi Mohammed, May 9, 2012.

 1. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Gari aina ya Suzuki Carry zinauzwa, zipo pieces 10, zimeingia nchini kutokea Japan, zimelipiwa kila kitu mpaka registration, kuweka specification ya zote kwa mtindo wa moja moja ni ngumu Ila kwa ujumla ni km ifuatavyo :Zina 950Cc, zinatumia petrol, ni manual transmission, zimetembea kati ya 10,000Km mpaka 72,000Km

  Zinauzwa 8.5m (8,500,000) kila moja, maongezi yanakaribishwa!

  Kwa maelezo zaidi Mpiga 0715 555512 au 0787 111123
   
 2. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Weka picha mkuu!
   
 3. Maranzana

  Maranzana Senior Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ni za mwaka gani?
   
 4. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Haina neno mkuu ntaweka.
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ya zamani sn ni ya 1998 na latest ni ya 2000
   
 6. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuna zenye 4w
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  950 cc hizo ni pikipiki (bodaboda) au magari?????
   
 8. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ndio mkuu, model hizi ni za gear 5 na zina 4wheel.
   
 9. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ni gari kaka kwa ajili ya kazi ndogo ndogo!
   
Loading...