MSAADA: Naomba kufahamishwa utatuzi wa tatizo hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: Naomba kufahamishwa utatuzi wa tatizo hili

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kisusi Mohammed, Jun 29, 2012.

 1. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Habari za majukumu wakuu,

  Nimekumbana na tatizo ambalo sjawahi kuliona kabla.

  PC yangu inatoa message "YOU MAY BE A VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING, THIS COPY OF WINDOW DID NOT PASS GENUINE WINDOW VALIDATION" kila ninapoiwasha.

  Naombeni msaada wa tatizo hili maana nimejaribu kila njia nimefeli!

  NB: Mi si mzuri sana kwenye IT!
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Kama ujumbe ulivyo ni kuwa huna valid licence ya window os unayotumia hivyo una mambo mawili kununua key online au computer shop pili ni kutumia mbinu za mkato ambapo ni kinyume cha sheria ila itaondoa tatizo. Unachotakiwa ni kusema unatumia window gani na utapewa maelezo humu humu
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kwa kifupi ..UNATUMIA WINDOW FAKE!! Sasa ili kuifanya iwe genuine ni lazima upate either KEY halali za window unayotumia, au kutumia cracks...vypte hivyo vinapatikana free online..ujanja wako tu!!
   
 4. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Natumia window XP jamani, uwezo wa kununua hizo key sina, naomba ujanja wa kuzipata online.
   
 5. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
 6. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  unatumia XP ipi?..SP1 au SP2?ninakeys za SP2.

  K26X7-FFFRX-VWXYM-3WT8M-FP6MB
   
 7. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Ahsante sana mkuu, natumia SP3 version ya 2002!
   
 8. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Mkuu nimegonga hiyo link ikanijibu directly kuwa "not found" na picha ya panya ameanguka miguu juu! Napataje window 7 online mkuu, nimepigika mbaya!
   
 9. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  itakuwa vema kama ukiinstall windows upya tu kuepuka kuhangaika. Tafuta iliyo valid
   
 10. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
 11. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Shukran sana wakuu wote, nimefanikiwa kuondoa lile tatizo ila kwa sasa ntafurahi kama ntapata msaada wa kudownload window 7 au km kuna mtu ana link ambayo ni reliable akinitumia ntashukuru sn, nimejaribu kwa upeo wangu mdogo naishia kuwa directed kwny games sites!
   
 12. L

  Loloo JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  He hujui Microsoft wanaphase out?at your own risk
   
Loading...