Nauza Samsung Galaxy Note 3 Chlone

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
500
Habari za majukumu wakuu, Leo nimekamatwa na ukata nahitaji Pesa chapchap. Ninauza Samsung galaxy note 3 chlone. Ipo vizuri, nimeitumia mwezi mmoja ila screen imecrack kiasi. Bei ni laki 3 na nusu (350,000).

Kwa anayehitaji anichek kwa 0768111123 (call, SMS au whatsapp)

Ahsanteni
 
Attachments

  • 1417413566516.jpg
    File size
    52.9 KB
    Views
    232

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,587
2,000
hakuna mang'ombe humu baki na kopo lako huko... laki tatu na nusu akupe nani kwanza li'clone tena ushavunja kioo.. pathetic
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,868
2,000
Mbona mnaongea sana mngemuuliza kwanza yeye kauziwa sh ngapi? Usikute kapigwa laki saba na nusu anataka mgawane nusu hasara, hizi clone za note 3 zinatisha ukiingia kichwakichwa unaweza ukajua ni original
 
Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
500
Uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo, si kila anaekuja kupost hapa ni mpuuzi kama wewe, we baki na ung;ombe wako, wanaohitaji wameshanipigia simu. Kalaghabaho

hakuna mang'ombe humu baki na kopo lako huko... laki tatu na nusu akupe nani kwanza li'clone tena ushavunja kioo.. pathetic
 
Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
500
Mi nimenunua laki 4, ilivyovunjika kioo nikatoa hiyo nusu hasara ya elf 50 ya kioo ndo nikatangaza kuuza, nashukuru kwa angalizo!

Mbona mnaongea sana mngemuuliza kwanza yeye kauziwa sh ngapi? Usikute kapigwa laki saba na nusu anataka mgawane nusu hasara, hizi clone za note 3 zinatisha ukiingia kichwakichwa unaweza ukajua ni original
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom