Search results

  1. M

    “Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

    “Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa lakini tunaamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania lazima waelewe kwamba changamoto hii ipo na kila mtu sasa kwa nafasi yake, kama kulikuwa na mtu anadhani tunatania ni wakati wa kuchukua hatua”- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema...
  2. M

    Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

    Mh Waziri wa Elimu na Serikali tunaomba muingilie kati hili linaloendelea katika hii shule ya Academic International School ya hapo Dsm kwani wanawalazimisha Wazazi kulipa Ada ya term nzima wakati huu ambao tupo kwenye janga la Corona, shule zote zimefungwa na haijulikani ni lini hali itarudi...
  3. M

    Kipruto ashinda Gold

    Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale Doha, Qatar. Hongera kwa KIPRUTO...Hongera kwa KENYA.
  4. M

    Mbunge wa CHADEMA Lucy Magareli akitema nyongo kuhusu Korosho. Nani Mbunge wa CCM anaeweza kuongea haya??

    Huyu Mbunge wa viti maalum CHADEMA hadi anasisimua kumsikiliza..
  5. M

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES: Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji)...
  6. M

    Ujenzi wa SGR umefikia wapi?

    Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea. Asante.
  7. M

    Kulikoni bajeti ya wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Habari Comrades.. Mpaka jana wakati Wizara ya Mifugo na Uvuvi ilikuwa inawasilisha Bajeti hiyo Bungeni, Wizara husika ilikuwa haijapelekewa na Hazina hata SENTI TANO ya fedha za Maendeleo ilizopangiwa na Bunge kwenye Mwaka wa fedha 2017/18.. So kwa Mwaka mzima ilikuwa ni kulipana Mishahara...
  8. M

    Lemutuz kuwa na uhakika kabla haujatoa habari yoyote

    Kwako W. J. Malecela Ni vema kabla haujatoa Habari yoyote kupitia TV online yako ama page yako ya Instagram uwe una uhakika. Siku chache ulirusha kwenye page yako ya Instagram kwamba Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki na ukawa unampa pole rafiki yako (Kinje mwenyewe unamuita rafiki wa...
  9. M

    Nashauri Meya Boniface Jacob apewe Ulinzi

    Habari Comrades, Ninaomba wahusika wa CHADEMA wamuombee ulinzi wa kutosha Mstahiki Meya wa Ubungo Meya Boniface Jacob kufuatia kuanza kwa shauri lake dhidi ya Paul Makonda (Daudi Bashite) kuhusiana na uhalali wa Elimu ya RC huyo wa Dsm.. Hii ni kwasababu kumekuwa na taarifa za yeye Mstahiki...
  10. M

    TANROADS yabomoa nyumba zilizowekewa Kinga ya muda na Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi

    Habari Comrades.. Kumekuwa na kilio kikubwa cha Bomoabomoa ya nyumba za wananchi wa Eneo la Kimara Mwisho kuja hadi Maeneo ya Stop Over na Suka (along old and new Morogoro road).. Ni kilio kikubwa kwasababu bomoabomoa hii haina fidia hata ya senti tano. Lakini kinachowaliza zaidi wananchi...
  11. M

    Rais Magufuli sasa huna jinsi, Toka nje ya nchi

    Habari Comrades.. Kwasababu sasa Mh Rais umeshaona na kukubali wewe mwenyewe kwamba misaada kwa Nchi hii ni LAZIMA..haikwepeki. Na kwamba ulifanya kosa sana pale ulipokebehi misaada ya kutoka nje kwa hii nchi..sasa huna jinsi Mh Rais toka nje ya Nchi Kwa sasa hali ilipofikia, Rais kafanye...
  12. M

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Kuna habari nimezipata kwamba Rais Magufuli amefanya ziara ya kustukiza Bandarini Dsm na hivi sasa yupo TICTS. Akiwa bandarini, Rais Magufuli amekamata kontena likiwa na magari matatu ambayo nyaraka zilionesha ni nguo za mtumba. ====== TAARIFA KUTOKA IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  13. M

    Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

    Good Morning Comrades.. Ukiacha Tuhuma za wizi wa cheti na kutumia jina ambalo sio la kwake zinazomkabili Paul Makonda RC wa Dsm, hizi tuhuma mpya za kwamba umehongwa magari na mmiliki wa NAS Haulage ili uweze kumwachia baada ya kumtaja kwenye list ya pili ya wauza madawa ya kulevya zinazidi...
  14. M

    Makonda vs ITV

    Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa. Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa. Mwenye kujua atujuze source ya msigano...
  15. M

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana. Amepata majukumu ya kitaifa. My Take: Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda. Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
  16. M

    Nchi Sasa Imefilisika.

    Habari Comrades.. Nilipomsikia Waziri wa Fedha akilia lia kuwa Serikali hivi sasa inahangaika kutafuta mkopo wa Tshs 2.1Trilion kutoka kwenye mabenki ya biashara na taasisi nyingine za fedha ili ziweze kusaidia kwenye budget yetu kwakweli nilisikitika na kuamini kuwa sasa ni rasmi kuwa Nchi...
  17. M

    Aibu Kubwa kwa Jeshi La Polisi

    Habari Comrades.. Hii ni Aibu kabisa kwa Jeshi la Polisi kutokuwa na Receipt Books/ Stakabadhi za Malipo za serikali (zile za yellow) kwenye vituo vyake mbalimbali vilivyopo hapa DSM. Malipo haya ya serikali hukusanywa pale mtu unapokwenda kwenye vituo vya polisi kuomba huduma kama ya...
  18. M

    Kwenu viongozi wa Dini na madhehebu yote

    Salama Comrades.. Viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali hapa Nchini wana umuhimu wa kipekee kabisa katika ustawi wa jamii zetu. Lengo la uzi huu ni kutaka kufahamu kutoka kwenu Viongozi wa dini na Madhehebu mbalimbali yaliyopo hapa Tanzania..hivi hamuoni MADHILA na TAHARUKI kubwa...
  19. M

    Mzee Mwanakijiji atupatie neno kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Marekani

    Salam Comrades.. Napenda kuelekeza uzi huu kwa Mzee Mwanakijiji atupatie walau neno kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Rais kule Marekani ambapo Donald Trump ameshinda. Nini mtazamo wako, mchuano ulikuwa vipi, nafasi ya Afrika kwa utawala wa Trump ikoje, USA ikiwa ni baba wa Demokrasia...
  20. M

    Waliopewa dhamana NIDA

    Wana Jamvi... Nimesikia sikia kuwa kuna baadhi ya watuhumiwa wa NIDA waliofikishwa mahakamani wiki hii wamepewa dhamana (sio wote). Mwenye kuwafahamu waliopewa dhamana tunaomba kuwafahamu tafadhali.
Back
Top Bottom