Ujenzi wa SGR umefikia wapi?

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
May 8, 2013
9,548
24,159
Habari Comrades,

Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii.

Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea.

Asante.
 
mbona SGR updates kwenye Kenya forum kila kitu kipo wazi lakini pia nenda youtube subscribe RELI TV yaani kuna updates zote utajionea mwenyewe
 
Habari Comrades,

Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii.

Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro, Moro-Dodoma/Makutopora na kuendelea.

Asante.

Nimesikia kuna lita 500 za mafuta zimekamatwa zikiwa zimeibwa kwenye kambi ya ujenzi wa SGR Ngerengere Morogoro
 
Back
Top Bottom